Picha: Nyumba mpya ya Diamond ya South Africa

Picha: Nyumba mpya ya Diamond ya South Africa

Leo ndo nimeamini Zari sio boss lady wala nini,kumbe anaishi kutegemea mwanaume,yaani unajua kabisa mwanaume anaingiza wanawake kwenye bedroom yenu na anawalala kwenye kitanda anachokulala wewe ,ila umo tu,hahahahahah maboss lady wa ukweli angeondoka on spot,ila kwa vile anamtegemea diamond financially ndo hivyo anaishia kuwafokea michepuko tu ,kumbe hata nyumba South alikuwa hana,maisha ya social media ni tofauti kabisa na maisha real
kanishangaza hata mimi haki vile lol... kwa hali hii hata amkute dai necked na salome wa hereni atamsamehe ili a maintain status yake anayojifanya nayo...

[emoji57] [emoji57]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umeona eeh!ndo maana huddah kamuita broke cougar

Kwa dai anakomaa anajua nyumba zipo Madale na kungineko

Hivi nan angekubali azae tena watoto wa ziada wakati unao wa3 tena wakubwa tu!!

Mpk msamba uliziba wa watoto wa mwanzo!??

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] t
kumbe mpigaji tu .ndo maana mama d hamtaki kabisa
 
Mbona watu mnamchukia hivyo Zari?

Kawafanya nini kwani?
Wana wish hizo hela wangekula wao akina Mwajuma ndala ndefu na sio m UG!yaani mtu anaanzisha conversation ana act kama zari na ex wake whatsap na GT unaamin!inawezekana kweli tunatumia 1% ya uwezo wetu wa kufikiri
 
Mbona watu mnamchukia hivyo Zari?

Kawafanya nini kwani?
Hatumchukii sie hata kidogo tena mie nlikua nampenda huyu mama kitambo sana

Enzi anaimba,mpk akapata tuzo!!

Ila nimeanza kumuona siyo alivyoanza kugombana na Wadada wa kibongo(wema)

Mtu anatoka na mpenzi wa Wema halafu anamletea dharau na kejeli haipendezi kwa kweli haswa ukija kwenye umri Zari si wa kubishana na watoto!

Toka hapo ile heshima yangu kwake na mapenzi nikavikatia rufaa!
 
Mbwembwe zote zile za ubosslady kumbe hata chumba kimoja Kwa Zulu natal hawana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nacheka kwa dharau!

Asante mondi kutufumbua macho!

Zari kumbe ndo maana kakomaa na Dai na kabeba mimba fastaaa

Kumbe anasecure future!!

Hatareee!!
Naona kuna mkanganyiko huko youtube kuna video nyingi zinaonyesha mijengo na mafanikio ya huyo mama tena zimerecodiwa na mpiga picha wa wasafi sasa huku tunakuta taarifa kwamba Hana kitu inaana walitupiga kamba mashabiki!
 
Naona kuna mkanganyiko huko youtube kuna video nyingi zinaonyesha mijengo na mafanikio ya huyo mama tena zimerecodiwa na mpiga picha wa wasafi sasa huku tunakuta taarifa kwamba Hana kitu inaana walitupiga kamba mashibiki!

hakuna kitu hapo mkuu nyumba ya kupanga na kafukuzwa na mlipaji kaambiwa akatafute kwake
halafu domo alimpendea huyu dada hela na mafanikio mdada kamchora tu kanfanya atm kwa kumzalia watoto apate pa kutokea domo atabeba mzigo huo milele hana nyumba hana biashara ni muuzaji tu wa k kama wema
 
Hatumchukii sie hata kidogo tena mie nlikua nampenda huyu mama kitambo sana

Enzi anaimba,mpk akapata tuzo!!

Ila nimeanza kumuona siyo alivyoanza kugombana na Wadada wa kibongo(wema)

Mtu anatoka na mpenzi wa Wema halafu anamletea dharau na kejeli haipendezi kwa kweli haswa ukija kwenye umri Zari si wa kubishana na watoto!

Toka hapo ile heshima yangu kwake na mapenzi nikavikatia rufaa!

Hahaaaaa duuh!

Huwa mnafurahisha kweli wakati mwingine.

Kwa hiyo wewe uko upset kwa sababu yeye [Zari] anatoka na Diamond [ambaye umesema ni mpenzi wa Wema]?

Mbona kama sielewi elewi vile....😀.

Clearly these things are way up above my pay grade!
 
Hili swali limedraw conclusion ya huu uzushi!
nani anajua kiwango cha pesa yake wakati anaanza ujenzi Madale!?......tunaanza projects kuzingatia hali zetu kwa wakati huo........labda kiwango chake cha sasa cha pesa kimeongezeka that anamudu kununua ya hivyo Sauz now..yote yanawezekana aisee
 
hakuna kitu hapo mkuu nyumba ya kupanga na kafukuzwa na mlipaji kaambiwa akatafute kwake
halafu domo alimpendea huyu dada hela na mafanikio mdada kamchora tu kanfanya atm kwa kumzalia watoto apate pa kutokea domo atabeba mzigo huo milele hana nyumba hana biashara ni muuzaji tu wa k kama wema
Wema anauza K na anajitunza na hana confrontation yoyote na mtu, she's free...sasa hilo limama linajishaua kumbe liko under probation na mahawara zake...ndo yaliyomkuta sorry sorry kibao na kutimuliwa![emoji16] [emoji16]
 
hakuna kitu hapo mkuu nyumba ya kupanga na kafukuzwa na mlipaji kaambiwa akatafute kwake
halafu domo alimpendea huyu dada hela na mafanikio mdada kamchora tu kanfanya atm kwa kumzalia watoto apate pa kutokea domo atabeba mzigo huo milele hana nyumba hana biashara ni muuzaji tu wa k kama wema
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]

kweli atm ya wtt.. we kila bday yako km si mimba unakula uzaz ndio nn!!.. kuzaa haraka hv ndo kutafuta future yake kweli hahahhhhahahah
 
Back
Top Bottom