mzazi nae alikua/ni mcumba/mpenzi wa mtu......heshima yake kama mzazi na kumjali iko pale lakini hii ya sasa ni FAMILIA YANGU MIMI....YAANI MIMI MWENYEWE!!!Hivi kwanini wanaume huwapa wake au wachumba vitu vya thamani kuliko wazazi wao,hapo inakuwaje