Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,816
- 8,809
Na sisi huku Mikoroshini ndo hivyo hivyo!
Hakufanya kosa hata kidogo kwa sababu moja kubwa! Ukimwangilia jinsi ambavyo Chibu alikuwa excited na ujio wa Tiffa! Na mapenzi ambayo bado anayaonesha kwa Tiffa... hapo hapo utagundua kwamba jamaa alikuwa na hamu sana ya kuwa na mtoto! Kwahiyo utagundua kabisa suala la kuwa na mtoto kwenye mahusiano yake ilikuwa ni moja ya malengo yake!!ila chibu alifanya makosa sana kumwachia jokate
Hakufanya kosa hata kidogo kwa sababu moja kubwa! Ukimwangilia jinsi ambavyo Chibu alikuwa excited na ujio wa Tiffa! Na mapenzi ambayo bado anayaonesha kwa Tiffa... hapo hapo utagundua kwamba jamaa alikuwa na hamu sana ya kuwa na mtoto! Kwahiyo utagundua kabisa suala la kuwa na mtoto kwenye mahusiano yake ilikuwa ni moja ya malengo yake!!
Now let's get back to Jokate! She's almost 28 years now na kumegwa anamegwa!! Hivi kweli unaamini kabisa msichana mwenye 28 hapa kati kati atakuwa hajawahi kunasa ujauzito?! Kama hajawahi, Mungu anisamehe lakini amewahi, mtoto yupo wapi?! Jibu ni kwamba bado Jokate yupo kwenye kula ujana wakati mwenzake alikuwa na nia ya kuitwa baba!!!! Dada zetu wanaamini ukishazaa inakuwa ndo kwishnei kumbe kuwa kwishnei ni vile unajiweka mwenyewe na ndio maana Zari mwenye watoto nusu ya timu ya basketball lakini bado anawafunika hata hao wanaoogopa kuzeeka wakishazaa!!
Kila mmoja alikuwa right kutokana na malengo yake! Kwavile uhalisia ushadhihiri kwamba Diamond alikuwa anahitaji sana mtoto basi mwanamke bora kwake angekuwa ni yule ambae wangefanana kimalengo! Kwa bahati mbaya, wote ambao alipata ku-settle nao hawakuwa na malengo sawa na yeye.Me namsupport jokate, simshauri mtu kumzalia boyfriend tena kama unaona hapa hakuna future, unless ndo uamuzi uliouamua. Kumegwa anamegwa ila kuzaa mtoto ni issue nyingine kabisa. Diamond alikuwa anahitaji mtoto, lakini bado hakuwa mtu wa kusema atasettle down soon. Wanaume wa siku hizi mnataka tu watoto ila kuoa akhaaa. Wanawake wengi wanapenda walee watoto wao pamoja na wazazi wenzao, na malezi ya mtoto ni zaidi ya kuwa na hela. Sio kesho mara kabaki single maza au baby daddy kaoa kawachukua watoto yupo busy na his new family, wanabaki kuwa watoto wako wa kwenye simu. Ingawa pia wapo wasiotaka kuzaa kisa usista duu
Tena wanaume msivyo na akiba ya maneno ndo wa kwanza kumuita single maza, sijui yeye ni wa kutumiwa tu, hafai kuolewa n.k. Na akija akizaa mtoto na mwanaume mwingine ndo vidole vinazidi "eh watoto wawili, baba tofauti khaaa", ingawa pia that doesn't make a single maza any less of a woman. Zari ameamua kuzaa kwa utashi wake, na jokate kama alikataa kuzaa, basi ni kwa utashi wake pia.
Kila mmoja alikuwa right kutokana na malengo yake! Kwavile uhalisia ushadhihiri kwamba Diamond alikuwa anahitaji sana mtoto basi mwanamke bora kwake angekuwa ni yule ambae wangefanana kimalengo! Kwa bahati mbaya, wote ambao alipata ku-settle nao hawakuwa na malengo sawa na yeye.
Kuhusu Diamond na ku-settle! Diamond anafanya kinachofanywa na wanaume wengi makini! Kwanza, hulka ya kiume ni ile ya majority kutotosheka na mwanamke mmoja! Hata ukiona hujawahi kumfumania boyfriend wako wala usijidanganye kwamba he doesn't cheat... ana-cheat but he's a smart cheater ndo maana hujawahi kumdaka! Lakini mwanaume makini hata kama ata-cheat namna gani bado anakuwa committed mahali! That's Chibu type kwamba since then, always anakuwa committed mahali! I hate to say this but ukweli ni kwamba, ingawaje ana access kubwa sana ya totoz za mjini lakini cheating yake ni ya kawaida sana... inayofanywa hata na wanaume wasio na access kubwa na totoz!Lakini pamoja na kuchepuka huko bado mara zote commitment yake kwa aliyemchagua inabaki pale pale!
Kuzaa nje ya ndoa, of course sio jambo zuri lakini issue sio kuzaa ndani au nje ya ndoa bali ni commitment ya baba! Wapo akina baba wengi tu ambao wako very committed kwa watoto wao wa nje ya ndoa kuliko commitment inayofanywa na baba walio ndani ya ndoa!
Kuhusu wanawake wengi wanapenda kulea watoto ndani ya ndoa nakubaliana na wewe! Hata hivyo, sio wanawake aina ya Jokate!! Wanawake aina ya Jokate wapo tayari kukuzalia kuliko eti umfunge kwenye minyororo ya ndoa! Usiniambie unaamini kwamba Jokate yule na uzuri wake ule (na kimsingi katulia kiaina) bado hapajawahi kutokea wa kutangaza nia!!
Huo mstari wa kwanza nafikiri tumekubaliana kuwa kila mtu amefanya alichoona kinamfaa. So jokate alikuwa sahihi pia kutokuzaa. In short walitofautiana kimalengo na Diamond.
Hahaha wanaume wengi makini mnafanyaje?
Unfortunately me sio mtu anayeamini Kuwa all men cheat, na "ALL" is such a very strong word. Kama bf wangu ananicheat ni yeye tu, but siwezi nikajidanganya na kujitia moyo Kuwa all men cheat, kuna wanaume wapo committed na mahusiano yao 100%. Hata kama kuna mwanaume mmoja tu asiyecheat, tayari huyo amesha-make a difference. Anyway tuliache hili coz tutabishana hadi kiama lol.
Kataa ukubali, but hata humu nyuzi nyingi za wanaolia kuwa "baba alinitelekeza", ni za watoto wa nje ya ndoa, compared na waliozaliwa ndoani. Fanya tu hiyo research
Jokate anaweza akawa hajaolewa sio kwa sababu hajapata proposals, but inawezekana hajapata bado anachokihitaji kwa mwanaume (Needs vs Wants). Na kwa ninavyosikia jinsi familia ya jojo ilivyo, inawezekana kweli anatamani kuzaa but anahofia familia yake.[/QUOTE]
"ALL"?! Oh God, no! I didn't say ALL but MAJORITY! Trust me HS, am good at using proper words cuz' naogopa sana kusutwa!!! I know ipo % ya non-cheaters but trust me; ukiichambua hiyo % ya non-cheaters, ni very few wanafanya hivyo kutokana na commitment yao ya uhusiano walionao! Kuna sababu mbali mbali za kutokuwa cheater but not necessarily being fidelity! Siwezi kumsifia mtu asiye-cheat si kwa sababu anaheshimu uhusiano wake but he doesn't have balls to facilitate his cheating! Huna pesa, huna ujiko kama Chibu Dangote, sio handsome, huna six packs, kuuza maneno hujui... in short, vipawa vya kiume vyoooote huna; sasa uta-cheat na nani shenzi taipu! And lemme tell you this: Usisikilize maneno ya vile vivulana vya MMU... ukweli ni kwamba kuivua pichu ya ukweli ya mwanamke si kazi ndogo ikiwa vipawa vya kiume nilivyotaja hapo juu haunacho hata kimoja! So, unaweza kudhani huyu not cheater kumbe he got no muscle to cheat... subiri apate muscle uone balaa lake!
Cku zote mtu mwenye roho ndogo hawezi kua na afya.mama kajaliwa afya kwenye lips na domo lake tu kwingne nyama hamnaKimama kina matusi htr..kilivyokauka kile lzm kichawi
Hahaa! Again you missed my point! Hao nilioita "vivulana" wa MMU not about cheating... nimesema, asikuambie mtu kuvua pichu ya ukweli sio kazi ndogo contrary na vivulana vya MMU ambao utawasikia "mademu wa cku hizi bhana, ukigusa tu unabeba!" Utabeba kila utakayegusa ikiwa tu una karama za kiume nilizotaja hapo kabla! Lakini pesa, huna! Ujiko, huna! U-handsome huna! Hata kuuza maneno; hujui! Aisee, utaishia kuongea "mademu wa cku hizi!" wakati kila Housegirl anayekuja kwenu anageuka kuwa ndo mchepuko!Ooh my bad.... nilikurupuka mweee
Hahaha unahisi naamini not all men cheat coz wanaume wa JF wameongea? ??? Mbona MMU wengi ndo wanaamini all men cheat? Ni misingi yangu tu. Kuna wanaume wana six packs, wana mijihela, gentlemen, yani ukimwona unamuangalia hadi unajikwaa, unabaki tu kusema "I wish" but hawacheat kabisa. Na angalia hata matajiri wengi wa hapa kwetu wengi wana wake mmoja mmoja (ingawa inawezekana wanachepukamo pia), na still kuna kina kajamba nani huku wana wanatamani wafikishe wake 12. Hata hao wanaocheat kulikotukuka wengi ni average joes, hawana zile hela za kusema eeeeh
Cheating is a choice, ingawa kweli wengi wengi wakishashika vijicent wanapagawa, but kuna watu simply find cheating not worth it , acha wale wanaomcha Mungu kiukweli kweli. Kuna watu wanapangaga wanawake foleni afu huelewi hao wanawake kwa huyo mwanaume wanafuata nini. Maana unakuta hela hana, mvuto wa manati yani kila kitu kawaida. Kwa hiyo wakucheat atacheat tu, hata kama ni apeche alolo.
Hahaa! Again you missed my point! Hao nilioita "vivulana" wa MMU not about cheating... nimesema, asikuambie mtu kuvua pichu ya ukweli sio kazi ndogo contrary na vivulana vya MMU ambao utawasikia "mademu wa cku hizi bhana, ukigusa tu unabeba!" Utabeba kila utakayegusa ikiwa tu una karama za kiume nilizotaja hapo kabla! Lakini pesa, huna! Ujiko, huna! U-handsome huna! Hata kuuza maneno; hujui! Aisee, utaishia kuongea "mademu wa cku hizi!" wakati kila Housegirl anayekuja kwenu anageuka kuwa ndo mchepuko!
Kuhusu hao gents ambao ukiwaona tu, unaona "OMG! Where does this dude come from?" Lakini pamoja na blessing zote hizo the guy doesn't cheat!! Come on HS, are you still under 20?! Who told kwamba he doesn't cheat?! REMEMBER, you're just ONE among hundreds if not thousands he comes across with!! How far sure you're that he keeps his eyes down to them all?!
Oh! Nimekumbuka! Umesema teba unakuta the guy is a gentleman! You know what?Umesahau my tutorial... I told you gentlemen are smart cheaters and not idiot or reckless cheaters! Smart cheaters are not only smart around you but to all other people na ndio maana anaonekana ha-cheat!
Lakini nilisahau kukuambia jambo moja about gentlemen! These guys are smart and they have taste too! Unaweza kukuta kwa mfano unajipitisha kwake ile mbaya lakini ndo kwanza jamaa anazidi kukufungia vioo! Hapo uta-conclude kwamba the guy doesn't cheat kumbe probably you're not his taste! Na linapokuja suala la taste, it doesn't matter how beautiful you are! If the guy loves big booty and you're that kind of slim girls then you'll mean nothing to him hata kama umetoka kuwa crowned Miss Tanzania!!
Kuhusu hao wanao-cheat huku hawana kitu; nishasema tayari! Unaweza kukosa vyote lakini una kipawa cha kuuza maneno!
HahahaHuko instagram watu mna 'vipaji' vya kugundua 'breaking news zilipo'
manake dah