Picha: Nyumba mpya ya Diamond ya South Africa

Picha: Nyumba mpya ya Diamond ya South Africa

Hivi kwanini wanaume huwapa wake au wachumba vitu vya thamani kuliko wazazi wao,hapo inakuwaje
Ile asali anapewa na mamake???? Hebu acha weweeee
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Jaman hivi chibu ndio nani??nasikiaga tu...mi mgeni mjini..
Chibu ni jina la utoto la Naseeb ama Diamond platinumz jina la kisanii.
Alipokua mdogo alikua hawezi kusema Naseeb so akawa akiulizwa unaitwa nani anajibu CHIBBU
 
Hivi kwanini wanaume huwapa wake au wachumba vitu vya thamani kuliko wazazi wao,hapo inakuwaje
Hahhaahhaahah mapenzi yana run dunia mwee tena usilogwe mwanao akawa zuzu Wa mapenzi utakufa cku Si zako duh inauma,ndo mana mama mondi anapambana na zari anajua mapenzi ya mwana yamehamia kwa make now
 
Yaani wabongo tuna chuki za kijinga jinga mara anadharau, anajisikia, nyodo nyumba yenyewe bei raisi (wakati yeye mwenyewe analala kwa shemeji, hata bei ya tofali haijui), wakati mtu mwenyewe hakujui. Alafu huko insta siku hizi kumekuwa ni uwanja wa maengineer wa maneno, wanafanya kuanzia design, drawing mpaka implementation, sasa hawa watu ukiwakuta wanavyolalamika maisha magumu, hawajui upuuzi wanaoundekeza unawapotezea timing za kufanikiwa ktk maisha yao, shauli zenu. Mwacheni diamond platnumz na maisha yake, ww unaendelea kuwa shabiki wa mziki wake na si kumpangia aishi vip.


Wenye timam watakuelewa
 
Hahaaaaa duuh!

Huwa mnafurahisha kweli wakati mwingine.

Kwa hiyo wewe uko upset kwa sababu yeye [Zari] anatoka na Diamond [ambaye umesema ni mpenzi wa Wema]?

Mbona kama sielewi elewi vile....
😀.

Clearly these things are way up above my pay grade!
Nyani Ngabu, siku ukija kumwelewa mpwa wangu geniveros hapo na mimi naomba unieleweshe manake na mimi wala sielewi yaani!!
 
Aaah hapana chezeyaaa, akina hamisa wataambulia uvideo queen mamaeeeee, ndomo nimempenda bureee, team mavi wameumbukaje na Salome wao [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Ukianzisha uzi alafu ukaanza ponda wenzio....kisa ww team mama latifah.....uzi unapoteza uhalisia.
 
Watoto wa kiganda wana nyota.
Cc. Idriss mtafute Leah umuombe msamaha mrudiane.
Miguberi ya kibongo ni mizinga ya mawigi tu.
 
Nyumba inaweza ikawa bei rahisi kama wengi wanavyosema ila huko kwa wenzetu ishu ni maintanance of the house...property tax ni hatari
 
Back
Top Bottom