Yaani wabongo tuna chuki za kijinga jinga mara anadharau, anajisikia, nyodo nyumba yenyewe bei raisi (wakati yeye mwenyewe analala kwa shemeji, hata bei ya tofali haijui), wakati mtu mwenyewe hakujui. Alafu huko insta siku hizi kumekuwa ni uwanja wa maengineer wa maneno, wanafanya kuanzia design, drawing mpaka implementation, sasa hawa watu ukiwakuta wanavyolalamika maisha magumu, hawajui upuuzi wanaoundekeza unawapotezea timing za kufanikiwa ktk maisha yao, shauli zenu. Mwacheni diamond platnumz na maisha yake, ww unaendelea kuwa shabiki wa mziki wake na si kumpangia aishi vip.