Picha: Nyumba mpya ya Diamond ya South Africa

Picha: Nyumba mpya ya Diamond ya South Africa

chige nimechoka bana hahaha, afu I'm missing your points mwee. Hao niliosema hawacheat, sijamaanisha kuwa nilijipitisha kwao afu wakanikaushia (ntakudunda ujue, me wa kujipitisha jamani hahaha), au kwamba wameniambia wao kuwa hawacheat, nope.., what I meant ni kuwa kuna gentlemen hawacheat hata huko gizani tusipowaona, they are committed 100%. Pamoja na vyote walivyonavyo wameamua kutokucheat. Unaweza ukajipitisha hata kwa kitombi na akakupotezea vile vile. Cheating is simply a choice
I told you before, I am good at using proper words!! Ili kukupunguzia muda wa kukanusha kwamba ulijipitisha, ndo maana from the beginning nikasema "KWA MFANO" unajipitisha!! So, don't worry, I know hukujipitisha though inawezekena pia yupo ambae kila umuonapo moyo unafanya 'ti ti ti! Kwahiyo hakuna ubaya hata kidogo ukijipitisha provided you're certain that the guy is a gent! Unajua kwa gentleman anafahamu kwamba love is all about emotions and when they hit at the right spot, they're uncontrollable! Kwahiyo hata ukijipitisha wala hataona "hee! Huyu bibie vp, mbona anakuja kasi" Kinyume chake atajua tu umezidiwa!

Uzuri wa sisi wanaume, ukishakuwa smart cheater hakuna tena cha kukuumbua tofauti na smart cheaters wa kike! Unashitukia tumbo hiloo hadi majirani wanaanza kujiuliza "hee! Imeingiaje ingiaje wakati muda wote yupo nyumbani!" Lakini kwa wanaume, hatuachi alama that's why naweza kukutana na wewe nika-swear kwa miungu yote kwamba you're my first girlfriend... utaishia kusema IMPOSSIBLE lakini hautakuwa na namna ya ku-prove otherwise! And lemme tell you this: Kuna wale wa hit and run... utawakamatia wapi wakati hawarudii njia waliyopita wakati wanaenda?! Utabaki kusema they don't cheat hata gizani; kumbe wee!!
 
Hahaha

Achana na insta kabisa

Sijui ni ukosefu wa kazi [emoji28][emoji28][emoji28]

Sema ubuyu unaongeza siku za kuishi

Halafu hiyo nyumba kama inauzwa rand milioni mbili
kumbe sio ghali
ni karibu sawa na nyumba Sinza za kawaida

Pesa ya madafu kama 300 milioni
 
SA nyumba sio ghali kivile

Yap
sasa naona wabongo wengi hawajui
wameona tu ghorofa wakafikiri ni ghali kama jumba la Masaki hivi
Masaki jumba kama hilo sio chini ya bilioni 3
sasa huko kumbe rand milioni 2 tu
sawa na nnyumba za Sinza
 
Nyumba nyingi mno Tanzania ziko way overpriced [unnecessarily].

Si Sinza wala Masaki..kote kote bei huwa haziendani kabisa na property yenyewe.

Nahisi tatizo au sababu kubwa ni soko la real estate kuwa unregulated.

Na nadhani pia ufisadi mkubwa uliokuwa au niseme uliokithiri ni moja ya sababu pia.
 
exactly.....soko pia kuwa unregulated
mfano eneo lote la beach la kigamboni liko mikononi mwa walanguzi
yaani watu wamenunua viwanja vyoote na wanavilngua gadi 10 million dollars..
wakati ni mapori matupu huko hadi kimbiji....

na ufisadi wa viongozi pia kujikatia wenyewe hivyo viwanja
 
Wewe nchi yenye nominal GDP per capita ya $963 inashindana na wakati mwingine kuzidi hata bei za nyumba za sehemu nyingi tu za Marekani.

That's unreal.

Uchumi wetu ni feki sana.

Hivi hujagundua kwa mfano watu waishio US huwa wanazishangaa hizo bei za nyumba za Tanzania?

Unakuta nyumba listing price yake ni dola milioni mbili za Kimarekani halafu ukiiangalia, ukiangalia hata mazingira iliyopo halafu ukilinganisha na nyumba za dola milioni mbili Marekani kwenyewe, unaona kabisa kuna watu wanaliwa sana hela zao.
 
uchumi wa Tanzania una kasoro nyingi sana
mojawapo ni Dar kuchukua karibu asilimia 60 ya uchumi
ndo maana ukitaka fremu ya duka kariakoo unaambiwa milioni 2 kwa mwezi ulipie mwaka mzima
wakati ukienda mkoa wowote ule nje ya Dar fremu haizidi laki mbili
eneo lile lile kama kkooo......

True huu uchumi uko so inflated .......huwa najiuliza sipatii jibu nini chanzo
 
Nyumba nyingi mno Tanzania ziko way overpriced [unnecessarily].

Si Sinza wala Masaki..kote kote bei huwa haziendani kabisa na property yenyewe.

Nahisi tatizo au sababu kubwa ni soko la real estate kuwa unregulated.

Na nadhani pia ufisadi mkubwa uliokuwa au niseme uliokithiri ni moja ya sababu pia.
Vile vile tusisahau suala la supply ambalo nadhani ndio msingi wa yote haya!

Chukulia Dar kwa mfano, ni maeneo machache tu mtu mwenye pesa yake na anaependa maisha ya kisasa anaweza kuishi! Hapa tuchukue eneo la kawaida kabisa... Sinza! Hivi leo hii tukiingia kwenye property listings kwa Sinza tunaweza kukuta nyumba za maana zinazofikia 500 zilizo sokoni?! I doubt! Si ajabu hata Dar es salaam mzima hizo 500 hazifiki!!

Kinyume chake, nimeangalia listings (from ONLY one source) kwa Moreleta Park inakosemekana ndiko Diamond amenunua. Kuna listings zaidi ya 1000 Moreleta alone na zote ni nyumba za maana! Bei zina-range $40K - $700K ingawa majority zinaanzia $ 100K. Ukichukua Pretoria yote from one source, kuna listings zaidi ya 40K. Na kv Pretoria ipo karibu sana na J'berg, inaonekana real estate developers wengi wanakimbilia huko kv J'berg ishakuwa full!
 
Nilichojifunza kwenye huu Uzi.
1.Watu wengi ni desperate na waliokta tamaa,kwa mantiki wana amimi kwakuwa wao hawawezi kujenga nyumba SOUTH basi kila mtu hawezi.
2.Mbongo ni mbongo hata akizaliwa Marekani=ROHO MBAYA,UCHAWI na KUISHI Kwa HISIA.
3.kUBEZA Kwamba fulani kanunua kitu cha bei chee wakati wao hawana hata Kijumba Manzese.
,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,nk
 
Sure
 
Halafu hiyo nyumba kama inauzwa rand milioni mbili
kumbe sio ghali
ni karibu sawa na nyumba Sinza za kawaida

Pesa ya madafu kama 300 milioni
Ni kweli Mkuu,wewe umeshanunua ngapi kama hizo au CCM Wamekuibia hela zako.
 
Ila hapo kalenga wanae waishi vizuri,,na hivi zari anazaa atazaa anunuliwe nyingine Marekani,,naona vyumba vingi maana watoto wengii
Nasubiri majibu kwa ivan nyumba ya wanae mpya
Watoto wamegoma kuishi kwenye nyumba alionunua dai sababu kamsema baba yao eti wanae wamepanga,zari kamuomba radhi mzazi mwenzie
 
Kwa hiyo diamond anamaanisha kuwa ivan hana nyumba na pale ile nyumba zari alikua kapanga tu kumbe hehehe katupa siri tulikua hatuijui,,,yaan ivana na mapesa yote yale hana nyumba kweli kua na nyumba ni kipaji[emoji23]mi nasubiri mapigo ya ivana nyumba atakayodondosha np (natabiri tu)
Alimpangishia zari aishi na watoto ila yeye Ivan anamijengo ya kutosha tu,nackia hamtaki tifa aishi pale ndo hacra ya dai kununua nyumba[emoji15]
 
Alimpangishia zari aishi na watoto ila yeye Ivan anamijengo ya kutosha tu,nackia hamtaki tifa aishi pale ndo hacra ya dai kununua nyumba[emoji15]
Kama mambo yenyewe ni ya kupangiwa nyumba uishi na watoto mwacheni atafute madanga ya kibongo ayazalie watoto.
 
Mh...!! Kumbe hii thread ni ya kike!!!
Naona akina mama mnapandishiana tu, acha niende zangu kwenye majukwaa mengine.
 
Back
Top Bottom