Picha: Nyumba mpya ya Diamond ya South Africa

Hapo kwenye kicheko hebu nifanyie mpango wa voice[emoji4]
 
Hivi ni lazima baba kukabidhi mali watoto? Na hii mentality ya kuwaza mali za wazazi ni mbaya sana, inawafanya watoto kubweteka! tuondokane na mitazamo hii buana!
 
Afrika Kusini sasa imekuwa nyumbani kwingine kwa Diamond baada ya kununua nyumba ya kifahari iliyopo jijini Pretoria.

Baada ya kutangaza kununua nyumba hiyo iliyomgharimu zaidi ya shilingi milioni 400, maneno mengi yalisemwa yakiwemo ya wale waliohisi amepiga changa la macho. Na sasa muimbaji huyo amethibitisha kuwa mjengo huo ni mali yake baada ya kuwasili rasmi Jumanne hii.

Akiwa na timu yake ya WCB, Diamond ameikagua nyumba kwa mara ya kwanza na kuwasogeza karibu nayo mashabiki wake kwa video alizoweka Instagram.

“Meet my neighbors …mnh ujirani huu hata siku Ukiwa na shida ya chumvi sjui unaingiaje kujichekesha upewe!…. [HASHTAG]#MyNewCribInSouthAfrica[/HASHTAG],” ameandika kwenye video moja.

Kwenye nyingine ameandika, “Wow! If you don’t know yet today was my first time seeing my house physically since I bought it a month ago….and honestly I went crazy when I saw it coz I was so excited to… so proud of my baby @zarithebosslady for being a good leader in our love and life..”

Ya mwisho ilikuwa na ujumbe mkali zaidi uliowalenga wale waliodai si nyumba yake.
“Asa k*nya nak*nya mie makalio yanawauma wengine, eti inahuu..,” ameandika.

“Wambie wasininunie mie, wakazane….halaf hii clip naomba wanangu mnisaidie kuwatag wote waliokuwa busy kupost na kuzungumza Kuwa nyumba hii si yangu….waambie hizi ndio kwanza rasharasha clip hata kupost sijaanza bado..”

“Soon naamia ndani…halaf nlisahau, wakikwambia mie mswahili wambie Mswahili haswaaa… halaf uswahili wangu najua kuutumia na umefanya leo niwe na kibanda south asa wao Uzungu wao Umewapa nini?”

MY TAKE: blaza punguza uswahili ikiwezekana acha kabisa piga kazi uzidi kuleta tuzo, badala ukae utafakari kwanini tuzo za MTV MAMA zimekupita pembeni, umeona the only way ku make headline ni kuonyesha live uswahili wako na kufanya 'show off ' ambazo hazina maana yoyote, hivi ukinunua nyumba lazima ni lazima watu wajue hata kama hawaamini umenunua how comes inakusumbua wewe?

Wizkid na utajiri wake mkubwa sijawah kuona uswahili.wa kuonesha majumba aliyonunua pamoja na utajiri wake mkubwa, yeye show off zake ni za kazi, wala sijui show off za mwanamke wake wala sio yeye tu wapo wengi. Embu badilikeni bwana.

Na pia nampongeza Ali Kiba kwa kauli yake kua hata akipata nyumba hatafanya show off sababu haimsaidii.. ali kiba ukiwa na mentality hio utafika mbali sana.

Na pia vitu vingine watu tuliokaa South Africa tunapiga kimya tu, naomba anunue na nyingine Sandton.
 
Hapa ni bakora tu! Kwani walivyokuwa wanataka ushahidi walikuwa wanatarajia nini? Kuonesha chako ni Uswahili lakini kuponda na kulazimisha kama ni ya kwake atoe ushahidi ndo sio Uswahili?!

Bora Mswahili anayepiga kazi na kupata mafanikio kuliko Mzungu Mweusi ambae kutwa kucha ni kuponda wakati hata baiskeli hana!

Halafu huyu Kiba tunayeambiwa hataki show-off na kiki! Hivi hataki sshow-off na kiki au anatumia watu kumfanyia show-off na kutafuta kiki ili aendelee kuhadaa watu kwamba hapendi show-off na kiki?! Kwa mfano ile clip ya juzi! Kiba mwenyewe anaonekana tena video ilichukuliwa at a short range! Ni kwamba alikuwa hajui what's going on?! Eti ime-postiwa na Team Kiba... come on; hakuna Team Kiba pale bali ni watu wake wa karibu na Kiba! Huwezi mathalani, mtu kama Rommie ukasema ni Team Diamond!! Kwahiyo tuache hizi porojo!
 
Ulianza vizuri sana ila kila MTU na maisha yake mkuu, huwezi kufanya kitu wote mkapenda ila mbona wengine wanaonesha viboxer vyao vya jero jero coz ndo alicho amua kufanya jaman tupige kazi tuachane na maisha ya watu. Ill- Will inatusumbua sana.
 
hiyo ndio cereb life mkuu.. pesa katafuta yeye alafu unataka umpangie cha kufanya, mmesema nyumba sio yake, kawathibitishia mnasema ana show off. kwa chochote atakachofanya hakitakosa mtu wa kukosoa na anajua hivyo ndio maana mnapozid kukosoa yeye ndio anawanyooshaaaaa
 
Sio LAZIMA Diamond aishi unavyotaka wewe..!
Who are you..!?
Am me!! And who are you! ndo ukweli uliopo mmezidi uswahili,,mwanaume unaonesha alama hii kwenye comments zako [emoji108] ndio nini!!; halaf msaanii mkubwa unajiita, embu fanyeni kazi mlete tuzo nyumbani..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…