Picha: Nyumba mpya ya Diamond ya South Africa

huyu diamond hamfikii hata msanii juager wa kenya kwa pesa jamaa ana 3 jets na makampuni kibao huyu mondi ni mtafta kick tu wala si mpga kazi
JUAGER wa Kenya..!?
Kwahiyo ulitaka Diamond aishi kama JUAGER wa Kenya..!?
Sio..!?
 
Acheni afurahie maisha kwa namna anavyoona yeye.
Mbona kuna watu wakinunua sambusa na juice ya ukwaju wana post Instagram au wengine wakinunua nguo mpya wanapiganazo Picha na kuzi post kwenye mitandao
 
nakubali juhudi zake, ila kuna kaujinga kafanya hapo katika kauli, sihitaji kujibiwa ukinijibu tu basi we mke wangu hahahaha.
 
Acheni afurahie maisha kwa namna anavyoona yeye.
Mbona kuna watu wakinunua sambusa na juice ya ukwaju wana post Instagram au wengine wakinunua nguo mpya wanapiganazo Picha na kuzi post kwenye mitandao
hahahhahahaha kweli kabisa, sema blazah katok shit ki awkward bana, ashafanikiwa sio kila kitu anatakiwa ajibu kivile itafikia wakati ataongea vibaya anaweza poteza endorsements wakuu
 
si walitangaza uzinduzi wao na hawana blah blah kama watandale na marehemu kanumba
wote wametangaza ila utangazaji wa domo umekukera kutokana ni msanii wa kwanza kutoka Tz au sio ??
 
WEWE MWENYEWE BONGE LA MSWAHILI
 
nakubali juhudi zake, ila kuna kaujinga kafanya hapo katika kauli, sihitaji kujibiwa ukinijibu tu basi we mke wangu hahahaha.
Ndo uswahili nnaousema hapa mkuu, tuzo alizonazo kaona ndo basi, wizikd nlimsikia akihojiwa anasema amefurahi lakin hajaridhika bado, davido na ustaa wake na utajiri still bado ana usongo na kufika mbali muwe mnaangalia hata instagram anapost nini...diamond sidhani kama imemuuma alivokosa hizo tuzo zilizopita juzi.. akae chini atafakari wapi aongeze nguvu, kwanza katuangusha kama wanaume...mwanaume utaongeaje maneno kama hayo bana, "inahuu...", mara [emoji108]...international artist for that matter...
kuna show za uk atafanya na neyo ningemuona wa maana kama angejipost anajiandaa na hizo show za UK ,
 
WEWE MWENYEWE BONGE LA MSWAHILI
Hamsemi facts mnaishia kuropoka tu mnaendeshwa na hisia zaidi kuliko akili...kama wewe ni wa kiume na umesapoti ujinga alioufanya ukiacha kuji show off pasipo na sababu ya msingi, kama mwanaume sitakubal ujinga wa kutumia maneno kama "inahuu ama kutumia ishara za [emoji108] alikua anamanisha nini labda uniambie wewe
 
Kwan hajapost iyo show a post Mara ngapi acheni roho za kwann
Mtu maisha yake mnampangia haishi vip alivyo kua anaangaika nyie mlikuwepo
 
hahahhahahaha kweli kabisa, sema blazah katok shit ki awkward bana, ashafanikiwa sio kila kitu anatakiwa ajibu kivile itafikia wakati ataongea vibaya anaweza poteza endorsements wakuu
Mkuu bora uongee, hizi ndo facts watu wanatakiwa waziseme, sio mtu uaendeshwa na hisia sababu unampenda kwaio hata akifanya upuuzi unakubali tu, kwanza katudhalilisha sana wanaume..eti inahuuu ...aiseee!!
 
huyu diamond hamfikii hata msanii juager wa kenya kwa pesa jamaa ana 3 jets na makampuni kibao huyu mondi ni mtafta kick tu wala si mpga kazi
Anadhalilisha wanaume!!
Yani nyumba south africa tu imekua mipasho...mwanaume mzima, international artist for that matter mipasho all the way
 
Anadhalilisha wanaume!!
Yani nyumba south africa tu imekua mipasho...mwanaume mzima, international artist for that matter mipasho all the way
Afu mtoto wa kiume kuchukia mafanikio ya mwanaume mwenzako huo ni..........
Jutaidi utafute vyako sio kazi kumkandia 2 kawaonesha kwamba Yale ndo matunda yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…