Picha: Nyumba mpya ya Diamond ya South Africa

Diamond Platinumz ni tajiri wa kutisha. Kuna nyumba zinavunjwa Knyama nimeambiwa kanunua pale anataka kuweka hotel.
Aisee...! Yasije kuwa yale ya Ridhwan Kikwete, Kila mji ukiingia ukiona jengo zuri, ukiulizia ni la nani unaambiwa ni la Ridhwan...(kumbe ulikuwa uzushi tu)...
 
Diamond asije kumwacha zari.

Zari kamfanya diamond awe na akili za kujitambua .

Kamsaidia sana na kumfanya apambane kutafuta mafanikio kwa bidii zaidi .

Ila angekuwa na hao vinuka mkojo Wa bongo wangempulusa fedha zake kisha kumwacha

Safi sana mondi bin laden

Hata ukija kumwacha mama tifa usidate na hivi vibinti vya bongo for life sake .

Katuletee mkamwana mwengine Wa huko nje ya nchi .

[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
upumbavu tu alafu watu wanasifia humu atupie pch ya nyumba anayoishi baba yake au ndokalumanzila wale wadunia wamemwambia ampotezee mdingi ili mambo yaendelee kuwa mswano
Hilo ni somo kwa wale wanaokimbia majukumu,a.k.a baba jina
 
Hahaha aissee
 
Mbona kama ume-panic jomba?! Kwanini unataka ioneshwe ya baba ake na sio ya mama ake?! Au kwanini wewe usioneshe anayoishi huyo babake?!
nipaniki kitu gani sasa we huonagi kwenye magazeti mdingi anaomba hela ya matibabu hapati
 
Ila hapo kalenga wanae waishi vizuri,,na hivi zari anazaa atazaa anunuliwe nyingine Marekani,,naona vyumba vingi maana watoto wengii
Nasubiri majibu kwa ivan nyumba ya wanae mpya
Ivan kashapigwa dongo apo na mondi kujifanya tajir kumbe nyumba kapanga
 
Ila diamond na familia yake anaijali jamani,sasa amjengee na mama yake marekani eti,
wabongo bwana mtu keshamjengea mama yake nyumba mnataka amjengee tena Marekani duh. Awekeze kwenye miradi mimgine imetosha sasa
 
Nyumba ugenini tena ya gorofa aisee very expensive house in soth afrika nadhani iyo pesa ya hapo kwa bongo unaweza kujenga kama izo mbili kutokana na tofauti ya uchumi wetu na bondeni
Asikudanganye mtu south africa nyumba ni rahisi zaidi ya Tanzania, na hii kutokana na utofauti wa maisha, mfano mzuri sidhan kama ukiwa na M200 unaweza pata nyumba nzuri mbezi beach pale, wala tusiende maeneo kama masaki nk, lakini ukiwa na (Z)1200000 una nyumba ya ukweli durban
 
nipaniki kitu gani sasa we huonagi kwenye magazeti mdingi anaomba hela ya matibabu hapati
Hahaa! Unaona sasa... kumbe kwenye magazeti tena magazeti yenyewe mara zote ni ya Shigongo... hushangai ndugu why always Shigongo?! Siku chache zilizopita tu hapa niliweka video ya Mzee Abdul!! Moja ya swali ambalo aliulizwa ni habari gani kuhusu Diamond huwa zinamkera sana! Bila kumung'unya, alisema wazi kwamba hakuna habari zinazomkera kama uzushi unaosambazwa na watu kwamba Diamond hamsaidii wakati anamsaidia!!! Hata hivyo, ni kweli kwamba Diamond anampendelea sana mama ake kuliko babake... lakini ni wangapi wanafanya hili tena kwa baba zao ambao wamewalea, wamewasomesha na kuwajengea msingi wa maisha yao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…