ovi
JF-Expert Member
- Aug 5, 2016
- 416
- 298
Mama ake nae anatakiwa apewe na mzazi mwenzie[emoji23]Hivi kwanini wanaume huwapa wake au wachumba vitu vya thamani kuliko wazazi wao,hapo inakuwaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama ake nae anatakiwa apewe na mzazi mwenzie[emoji23]Hivi kwanini wanaume huwapa wake au wachumba vitu vya thamani kuliko wazazi wao,hapo inakuwaje
Kupitia ukurusa wake wa instagram, mwanamuziki diamond platnums amepost mjengo wake mpya uliopo south Africa, huku akimpongeza mzazi mwenzie (mama tiffah) kwenye siku yake ya kuzaliwaView attachment 405255View attachment 405256
Aisee...! Yasije kuwa yale ya Ridhwan Kikwete, Kila mji ukiingia ukiona jengo zuri, ukiulizia ni la nani unaambiwa ni la Ridhwan...(kumbe ulikuwa uzushi tu)...Diamond Platinumz ni tajiri wa kutisha. Kuna nyumba zinavunjwa Knyama nimeambiwa kanunua pale anataka kuweka hotel.
Kama kanunua hiyo ilikuwaje asijenge Madale kama hiyo?
Hilo ni somo kwa wale wanaokimbia majukumu,a.k.a baba jinaupumbavu tu alafu watu wanasifia humu atupie pch ya nyumba anayoishi baba yake au ndokalumanzila wale wadunia wamemwambia ampotezee mdingi ili mambo yaendelee kuwa mswano
Ivi zari ni msomi???Hongera kwao, Ila zari ni mjanja sana
Hahaha aisseeDiamond asije kumwacha zari.
Zari kamfanya diamond awe na akili za kujitambua .
Kamsaidia sana na kumfanya apambane kutafuta mafanikio kwa bidii zaidi .
Ila angekuwa na hao vinuka mkojo Wa bongo wangempulusa fedha zake kisha kumwacha
Safi sana mondi bin laden
Hata ukija kumwacha mama tifa usidate na hivi vibinti vya bongo for life sake .
Katuletee mkamwana mwengine Wa huko nje ya nchi .
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
nipaniki kitu gani sasa we huonagi kwenye magazeti mdingi anaomba hela ya matibabu hapatiMbona kama ume-panic jomba?! Kwanini unataka ioneshwe ya baba ake na sio ya mama ake?! Au kwanini wewe usioneshe anayoishi huyo babake?!
Hahahhh warumi na zariJamani nyie mnaozoea kuacha hereni mkaache na south africa sasa mtamkoma mama mwenye nyumbaaaa
Papuchi DinaHivi kwanini wanaume huwapa wake au wachumba vitu vya thamani kuliko wazazi wao,hapo inakuwaje
Ivan kashapigwa dongo apo na mondi kujifanya tajir kumbe nyumba kapangaIla hapo kalenga wanae waishi vizuri,,na hivi zari anazaa atazaa anunuliwe nyingine Marekani,,naona vyumba vingi maana watoto wengii
Nasubiri majibu kwa ivan nyumba ya wanae mpya
Mama ake alishamnunulia kunduchiAmjengee mama yake kama ile yangu niliyokuonyesha? 😉
Ila nyie si mlikuwa mnasema Zari katoswa?
Kulikoni tena?
Au ndo yaleyale...uzushi tu?
wabongo bwana mtu keshamjengea mama yake nyumba mnataka amjengee tena Marekani duh. Awekeze kwenye miradi mimgine imetosha sasaIla diamond na familia yake anaijali jamani,sasa amjengee na mama yake marekani eti,
Asikudanganye mtu south africa nyumba ni rahisi zaidi ya Tanzania, na hii kutokana na utofauti wa maisha, mfano mzuri sidhan kama ukiwa na M200 unaweza pata nyumba nzuri mbezi beach pale, wala tusiende maeneo kama masaki nk, lakini ukiwa na (Z)1200000 una nyumba ya ukweli durbanNyumba ugenini tena ya gorofa aisee very expensive house in soth afrika nadhani iyo pesa ya hapo kwa bongo unaweza kujenga kama izo mbili kutokana na tofauti ya uchumi wetu na bondeni
Hahaa! Unaona sasa... kumbe kwenye magazeti tena magazeti yenyewe mara zote ni ya Shigongo... hushangai ndugu why always Shigongo?! Siku chache zilizopita tu hapa niliweka video ya Mzee Abdul!! Moja ya swali ambalo aliulizwa ni habari gani kuhusu Diamond huwa zinamkera sana! Bila kumung'unya, alisema wazi kwamba hakuna habari zinazomkera kama uzushi unaosambazwa na watu kwamba Diamond hamsaidii wakati anamsaidia!!! Hata hivyo, ni kweli kwamba Diamond anampendelea sana mama ake kuliko babake... lakini ni wangapi wanafanya hili tena kwa baba zao ambao wamewalea, wamewasomesha na kuwajengea msingi wa maisha yao!nipaniki kitu gani sasa we huonagi kwenye magazeti mdingi anaomba hela ya matibabu hapati