Picha: Nyumba mpya ya Diamond ya South Africa

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] baby tunda
 
Halafu watu wanasifia humu atupie pch ya nyumba anayoishi baba yake au ndokalumanzila wale wadunia wamemwambia ampotezee mdingi ili mambo yaendelee kuwa mswano
Usilolijjua ni kama usku wa giza,siri ya mtungi huijua kata.ukiona vinaelea ujue viliwahi kuundwa.mtegemea cha nduguye hufa maskini.Diomond is a very concerned boy hadi anaanza kuimba alikuwa yeye na mama yake..leo mnaongea kna kwamba haujui nn kinaishi kati yake na baba yake,jeraha lakukanwa na baba analijua mlengwa ni rahis mim na nawew kusema chochote kwan pengine hatujawah kukataliwa nababa zetuhivyo hatujui radha yake
 
Si bure we utakuwa unaishi kwa shemej yko.......si kwa wivuu huu.....dunia nzima huwez kukuta cheap house ya type hyo......na thaman ya ardhi ya south iko juu kuliko hapa....cz kule maisha ya watu yako juu na watu wenye pesa toka sehemu zote dunian wapo kule afu leo uje ufananishe price ya ardhi ya j'burg na mikochen sijui mbezi beach....kawadanganye watoto wadada bana......ingekuwa hivyo south kusingekuwa na slums kama zile cz serikali ingeweza kuwapa tu watu nyumba za kuishi bure tuu.....bt kule kila ardhi inamwenyewe
 
Hivi kwanini wanaume huwapa wake au wachumba vitu vya thamani kuliko wazazi wao,hapo inakuwaje


mama alizembea kwa baba mkuu acha baba apate adhabu ya kuwa mzembe kushindwa kutunza goma yani mama hakuna wa kumsaidia wataambulia hela ya matumiz na matibabu natania bana
 
Nyumba ugenini tena ya gorofa aisee very expensive house in soth afrika nadhani iyo pesa ya hapo kwa bongo unaweza kujenga kama izo mbili kutokana na tofauti ya uchumi wetu na bondeni
Gharama ya kununua nyumba moja masaki kule bondeni unapata mijengo miwili kama hiyo.. Sijui kwanini huku kwetu nyumba Ni ghali hivi
 
SHIKAMOO MONDI MISIFA!
ahahahahahahhahhahahhaa hereni oyeeeeeeeeee
we acha hereni mi NAZAA NA KUKABIDHIWA NYUMBA!
sasa sijui ndo tunalinganaje tu yani!
 

You have to attack my points not my person. It is always important to remember that in discussion/debate. You don't know me, what I know, and what I have got just as I don't know you.

Back to the point. Mimi sijasema hiyo nyumba ni cheap.

Lakini ninachokuambia ni kuwa Tanzania tuna tatizo kubwa sana la kutokupima ardhi hasa mijini. Sehemu kubwa ya mji wa Dar es Salaam imekuwa ni ghetto tu. Hakuna barabara, sewage system, ukusanyaji takataka, n.k. Hata huko mnakosema kumepimwa ni vumbi tu. Tazama Mbezi Beach, Sinza, n.k. Sehemu ambayo ni afadhali ni Oysterbay. Hata Masaki kuna barabara nyingi tu za vumbi na maji kwa ndoo/simtank.

Miji ya South Africa ipo vizuri kama ulaya. Lakini kwa vile miji yote imepimwa, basi viwanja na nyumba huwa ni vingi sana na bei hupungua sana. Vilevile wenzetu wanajenga kwa mikopo kuliko Tanzania ambako ni lazima udundulize au uibe. Ndiyo maana wewe unapoona hiyo nyumba unafikiria itakuwa Masaki ya South Africa.

Unapozungumzia slums South Africa kumbuka kuwa kwa vile South Africa kila kipande cha ardhi kina mwenyewe ambao wengi ni wazungu siyo rahisi kwa mtu wa kawaida sana, asiye na kazi ya maana kumiliki nyumba ya maana.

Ukitaka kujua bei za nyumba South Africa tembelea tovuti za Property Agents kama Seeff Properties na linganisha bei za hizo nyumba na bei ambayo ungeambiwa Tanzania. Kumbuka Rand 1 ni sawa na USD 14.

Nakupa tovuti ya Seeff Properties kwa maeneo ya Centurion. Kama unajua mitaa mingine badilisha unavyotaka:

Properties for sale in Centurion | Seeff Properties
 
Ila hapo kalenga wanae waishi vizuri,,na hivi zari anazaa atazaa anunuliwe nyingine Marekani,,naona vyumba vingi maana watoto wengii
Nasubiri majibu kwa ivan nyumba ya wanae mpya
Ndiyo uku kuzaa kwa akili siyo unazaa zaa tu.
 
Bei ya nyumba Afrika Kusini ni ndogo kuliko Tanzania. Nyumba nzuri ambazo zinauzwa ziko nyingi sana kuliko Tanzania
Kumiliki nyumba south ni rahisi kuliko hata Tanzania.

Bro wangu anasoma south na ameshanunua nyumba uko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…