Picha:Obama Azeeka Ghafla baada ya kusomewa abdadili pale alipotamka kuishambulia Syria

Picha:Obama Azeeka Ghafla baada ya kusomewa abdadili pale alipotamka kuishambulia Syria

Mlaleo

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
16,378
Reaction score
13,198
1231594_10151621022673603_2020249531_n.jpg

Picha ya kwanza Obama alivyo sasa na ya pili alivyokuwa Zamani inasemekana kajifungia ndani na anafanyiwa kutengenezewa uso wa bandia ndipo atoke nje..

Hizi ni Tetesi
 
acha ujinga hiyo pic ni animated character iliyotumika kwenye documentary ya discovery kumzungumzia satan na inasemekana wali m design shetani afanane na obama makusudi hadi watu kama kina Rush limbourgh wakafurahia sana
 
Natamani mngesomea albadili Muungano wa Tanganyika na Zanzibar..........
 
dah we jamaa mwongo sana, mpaka umri huu hujaacha uongo tu, itakua unamatatizo si bure
 
Ndivyo wenzetu wanavyodanganywaga kirahisi hivi na wanaamini. Unaweza kuzikuta zimeshabandikwa kwenye kuta za misikiti huku wakiendelea kuaminishwa hivyo.
 
uongo mwingine hata kuku hawezi kuamini pengine bata.
 
Dini inayotumia ushawishi kuwahadaa watu ili kujipatia umaarufu.
Mara kolani imeshushwa mara ukiikojolea unageuka mjusi,,,ujinga mtupu.
 
...kweli ujinga mzigo...hiyo albadili ingekua inafanya kazi basi wakristo wangekua 2% tu duniani!
 
just da world and god gave us ability of thinking and speeking.
so we speaks what comes from our thought
 
just da world and god gave us ability of thinking and speeking.
so we speaks what comes from our thought

Ni We speak, and not we speaks! Kama huiwezi lugha ya Malkia andika Kiswahili tu kama sisi wengine hapa! Ebo!
 
Hiyo albadili ndio nini!?

kuna kisomo wanasoma watu wa dini flan wakinuia mabaya kwa mtu au kwa kikundi cha watu...nadhan muanzisha thread atatufafanulia zaidi inaonekana ana utaalamu flani
 
Natamani mngesomea albadili Muungano wa Tanganyika na Zanzibar..........

Au wale vipofu na vilema walioombewaga na Moses Kulola wangemuomba Jehova amfufue tena.
 
Natamani mngesomea albadili Muungano wa Tanganyika na Zanzibar..........

Au wale vipofu na vilema walioombewaga na Moses Kulola wangemuomba Jehova amfufue tena.
 
Back
Top Bottom