Picha ya kwanza Obama alivyo sasa na ya pili alivyokuwa Zamani inasemekana kajifungia ndani na anafanyiwa kutengenezewa uso wa bandia ndipo atoke nje..
Hizi ni Tetesi
Picha ya kwanza Obama alivyo sasa na ya pili alivyokuwa Zamani inasemekana kajifungia ndani na anafanyiwa kutengenezewa uso wa bandia ndipo atoke nje..
Hizi ni Tetesi
Ipelekeni madrasa mkawapumbaze watoto.
Wapumbae mara ngapi? Kama albadili silaha mbona hawampigi nayo mmarekani anayewatandika kila kukicha. Marekani anawatandika halafu anawagaia chakula chenye kitimoto na wanafyata mkia.
Hiyo albadili ndio nini!?
Ndivyo wenzetu wanavyodanganywaga kirahisi hivi na wanaamini. Unaweza kuzikuta zimeshabandikwa kwenye kuta za misikiti huku wakiendelea kuaminishwa hivyo.
Hiyo albadili ndio nini!?
Penye albadali we tamka jina lipitalo majina yote " YESU" hao ma islamist wanapitea wenyewe. Nakumbuka hawa mbumbu eti walimsomea george w bush albadili.....kichekesho