Picha: ODAMA ndani ya DUBAI

Hicho ni kikwapa au macho yangu tu?

Hebu cheki huo mkono ulioshika kiuno...naona kama kuna kijasho cha kikwapa vile😀.

Armpit pads zinamhusu...

ni mikono yote miwili…ni wachafu sana wasanii wa Bongo
 
OK THANKS KWA UBUYU..KAKA WARUMI NAKUHESHIMU KWA UBUYU, UMETISHA KAKA
 
Aisee nikajua Mimi tu ndio ninavimiguu vyembamba kumbe hata huyu? ......turudi kwenye mada lkn bidada huyu hana skendo wacha ale bata tu
ANA MKUU MKALI CHUPA YA BIA.. ANGALIA ILE MOVIE YA HOUSE MAID NI BALAA.. HIYO PICHA HAIKO POA
 
Huyu dada yuko poa sana.alimpenda msanii wake (jina kapuni) kabla hajazaa alikuwa anamnunulia zawadi mama mkwe balaa.ila yule kaka hata habari alikuwa hana.hakumpenda kabisa.mwisho Wa siku ilibidi aachie ngazi bila kupenda
Duh! Bahati hairudi mara mbili..
 
Kwahyo unataka kuniambia kua hapo wamemfanyia fitna?[emoji13] [emoji13]
year siunajua tena hizi camera zetu.. directions, and na mambo ya kufinyanga ... nitumie picha za miguu yako malya nikushauri njoo P.M malya tuyajenge..
 
year siunajua tena hizi camera zetu.. directions, and na mambo ya kufinyanga ... nitumie picha za miguu yako malya nikushauri njoo P.M malya tuyajenge..
Pm mbali ......angalia avatar yangu alafu nishauri basi
 
Kumbe China na Dubai ni sehem moja???mana mtoa mada anasema yupo Dubai lakn location ya picha inaonyesha yupo china
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…