PreGE2025 PICHA: Ona Mapokezi kabambe ya Cde CPA Amos Makalla Kilosa kwa Mwenezi Mstaafu Cde Shaka Hamdu Shaka

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

CM 1774858

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2021
Posts
6,157
Reaction score
5,451


Cde CPA Amos Makalla akiongea na Wananchi wa Kilosa.

KILOSA: Inasemekana kwa mara ya kwanza Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa Cde CPA Amos Makalla amehutubia mikutano mikubwa zaidi akiwa Wilaya ya Kilosa kuliko Wilaya yoyote hapa Tanzania bara na visiwani aliyofanya ziara akiwa Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi.


Picha: DC Shaka Hamdu Shaka akiongea na Wananchi wakati wa ziara ya Cde CPA Amos Makalla Kilosa.


Duru za kisiasa toka Mkoani Morogoro na maeneo ya jirani zinasema Uongozi mahiri na madhubuti wa Mhe RC Adam Malima Mhe DC Shaka Hamdu Shaka vimekuwa ni chachu ya kukubalika zaidi Kwa Chama Cha Mapinduzi CCM Wilayani Kilosa na Mkoa mzima wa Morogoro.

Picha: Mkuu wa Mkoa Morogoro Adam Malima kulia akiwa na baadhi ya Viongozi wa Mkoa huo.

Kwa mliosahau, Mkumbuke Mwenezi mstaafu Cde Shaka Hamdu Shaka ndio muasisi wa kwanza kabisa kauli mbiu ya "2025 Tunakwenda na Dkt Samia bara na Dkt Mwinyi Zanzibar" na baaadae kauli hii ikaungwa mkono na viongozi mbalimbali akiwemo Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Khassim Majaliwa.
 
Sawa
 
T-shirts mpya kabisa, hongera chama dume kwa ruzuku
 

 
WanaCCM wanauliza Wasira yuko wapi mbona kimya na alisema atapiga mchaka mchaka nchi nzima kila siku?
Ameamua kulala nyumbani?
Vipi pumzi imekata mapema?
Analea wajukuuu?
Ana monitor na kucontrol BP na Sukari kwanza?
 
Subiri mfikiwe na kimbunga cha "NO REFORMS NO ELECTION" huko kilosa ndio mtajua kwanini mliingia gharama ya kusafiriaha watu kutoka malinyi na ulanga na kualika wanafunzi wa vyuo na sekondari wakati kumbe hapo hapo kilosa kuna wananchi mara 10 ya hao.
 
WanaCCM wanauliza Wasira yuko wapi mbona kimya na alisema atapiga mchaka mchaka nchi nzima kila siku?
Ameamua kulala nyumbani?
Vipi pumzi imekata mapema?
Analea wajukuuu?
Ana monitor na kucontrol BP na Sukari kwanza?
Mzee Yuko likizo kuweni na Utulivu anakuja soon
 
CCM ilipata Mwenezi Shaka Hamdu Shaka Bora sana, Kijana msikivu sana
 
CCM, You can fool people all of the time.
 
Acha mapokezi ,uliza hapo zimetumika sh ngapi ,

Ccm wana pesa , mkutano mmoja wakiambiwa wabunge wote kwa kila mmoja atoe laki tatu ,lazima mkutano kuonekana kama ulivyo, nje ya hapo hakuna chama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…