View attachment 3336537
View attachment 3336519
Cde CPA Amos Makalla akiongea na Wananchi wa Kilosa.
KILOSA: Inasemekana kwa mara ya kwanza Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa Cde CPA Amos Makalla amehutubia mikutano mikubwa zaidi akiwa Wilaya ya Kilosa kuliko Wilaya yoyote hapa Tanzania bara na visiwani aliyofanya ziara akiwa Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi.
View attachment 3336524
Picha: DC Shaka Hamdu Shaka akiongea na Wananchi wakati wa ziara ya Cde CPA Amos Makalla Kilosa.
Duru za kisiasa toka Mkoani Morogoro na maeneo ya jirani zinasema Uongozi mahiri na madhubuti wa Mhe RC Adam Malima Mhe DC Shaka Hamdu Shaka vimekuwa ni chachu ya kukubalika zaidi Kwa Chama Cha Mapinduzi CCM Wilayani Kilosa na Mkoa mzima wa Morogoro.
View attachment 3336527
Picha: Mkuu wa Mkoa Morogoro Adam Malima kulia akiwa na baadhi ya Viongozi wa Mkoa huo.
Kwa mliosahau, Mkumbuke Mwenezi mstaafu Cde Shaka Hamdu Shaka ndio muasisi wa kwanza kabisa kauli mbiu ya
"2025 Tunakwenda na Dkt Samia bara na Dkt Mwinyi Zanzibar" na baaadae kauli hii ikaungwa mkono na viongozi mbalimbali akiwemo Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Khassim Majaliwa.