PreGE2025 PICHA: Ona Mapokezi kabambe ya Cde CPA Amos Makalla Kilosa kwa Mwenezi Mstaafu Cde Shaka Hamdu Shaka

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
ccm ya makala ni ccm yenye kuendekeza vitendo haramu vya kishetani hawawezi kupata wingi wa watu pasipo kuwasomba na mafuso toka vijijini na mitaani
Hapo kwenye kupiga kura ndio wanachanganyikiwa.
Wawekeze Imani kwenye mioyo ya watu waache propaganda
 
View attachment 3336537
View attachment 3336519
Cde CPA Amos Makalla akiongea na Wananchi wa Kilosa.

KILOSA: Inasemekana kwa mara ya kwanza Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa Cde CPA Amos Makalla amehutubia mikutano mikubwa zaidi akiwa Wilaya ya Kilosa kuliko Wilaya yoyote hapa Tanzania bara na visiwani aliyofanya ziara akiwa Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi.

View attachment 3336524
Picha: DC Shaka Hamdu Shaka akiongea na Wananchi wakati wa ziara ya Cde CPA Amos Makalla Kilosa.

Duru za kisiasa toka Mkoani Morogoro na maeneo ya jirani zinasema Uongozi mahiri na madhubuti wa Mhe RC Adam Malima Mhe DC Shaka Hamdu Shaka vimekuwa ni chachu ya kukubalika zaidi Kwa Chama Cha Mapinduzi CCM Wilayani Kilosa na Mkoa mzima wa Morogoro.
View attachment 3336527
Picha: Mkuu wa Mkoa Morogoro Adam Malima kulia akiwa na baadhi ya Viongozi wa Mkoa huo.

Kwa mliosahau, Mkumbuke Mwenezi mstaafu Cde Shaka Hamdu Shaka ndio muasisi wa kwanza kabisa kauli mbiu ya "2025 Tunakwenda na Dkt Samia bara na Dkt Mwinyi Zanzibar" na baaadae kauli hii ikaungwa mkono na viongozi mbalimbali akiwemo Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Khassim Majaliwa.
Shaka ni bonge la kiongozi
 
Morogoro sijui tumerogwa, Watu inept wote ndo tunapewa watuongoze
 
Huyu apewe U-RC ametosha kabisa
 
Mhe Bakari Malima, Fanya mazoezi hicho kitambi sio
 
Back
Top Bottom