Watu wakitumia pesa yao Kuna shida gani?Acha mapokezi ,uliza hapo zimetumika sh ngapi ,
Ccm wana pesa , mkutano mmoja wakiambiwa wabunge wote kwa kila mmoja atoe laki tatu ,lazima mkutano kuonekana kama ulivyo, nje ya hapo hakuna chama
Hakuna shida mkuu ,ila ni vyema umma kujua kwamba watu wanatumia pesa zao kama sio kodi zaoWatu wakitumia pesa yao Kuna shida gani?
Hakuna shida mkuu ,ila ni vyema umma kujua kwamba watu wanatumia pesa zao kama sio kodi zao
SawaHakuna shida mkuu ,ila ni vyema umma kujua kwamba watu wanatumia pesa zao kama sio kodi zao
CCM inapendwa kuliko chama chochoteCCM kumbe inapendwa sana
Tatizo lako kumkashifu ndg yetu unatukera sanaCCM hata milele na milele, Amina..!!🙏
Kwa haraka haraka tu hawa wananchi wanaonekana wamechoka ile mbaya na ni kitu ambacho CCM wanataka siku zote. Hawataki wananchi wanaojitambua hata kidogo.View attachment 3336537
View attachment 3336519
Cde CPA Amos Makalla akiongea na Wananchi wa Kilosa.
KILOSA: Inasemekana kwa mara ya kwanza Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa Cde CPA Amos Makalla amehutubia mikutano mikubwa zaidi akiwa Wilaya ya Kilosa kuliko Wilaya yoyote hapa Tanzania bara na visiwani aliyofanya ziara akiwa Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi.
View attachment 3336524
Picha: DC Shaka Hamdu Shaka akiongea na Wananchi wakati wa ziara ya Cde CPA Amos Makalla Kilosa.
Duru za kisiasa toka Mkoani Morogoro na maeneo ya jirani zinasema Uongozi mahiri na madhubuti wa Mhe RC Adam Malima Mhe DC Shaka Hamdu Shaka vimekuwa ni chachu ya kukubalika zaidi Kwa Chama Cha Mapinduzi CCM Wilayani Kilosa na Mkoa mzima wa Morogoro.
View attachment 3336527
Picha: Mkuu wa Mkoa Morogoro Adam Malima kulia akiwa na baadhi ya Viongozi wa Mkoa huo.
Kwa mliosahau, Mkumbuke Mwenezi mstaafu Cde Shaka Hamdu Shaka ndio muasisi wa kwanza kabisa kauli mbiu ya "2025 Tunakwenda na Dkt Samia bara na Dkt Mwinyi Zanzibar" na baaadae kauli hii ikaungwa mkono na viongozi mbalimbali akiwemo Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Khassim Majaliwa.
Unatambuaje wamechoka Mkuu?Kwa haraka haraka tu hawa wananchi wanaonekana wamechoka ile mbaya na ni kitu ambacho CCM wanataka siku zote. Hawataki wananchi wanaojitambua hata kidogo.
Hii nyomi haiwezi kuwa ndogo hata hivyoKuna wanaosema wanapata nyomi, ngoja July ianze na stars wa siasa waingie kazini ndio watajua hawajui.
Mkaamua kusafirisha watuKwa mliosahau, Mkumbuke Mwenezi mstaafu Cde Shaka Hamdu Shaka ndio muasisi wa kwanza kabisa kauli mbiu ya "2025 Tunakwenda na Dkt Samia bara na Dkt Mwinyi Zanzibar" na baaadae kauli hii ikaungwa mkono na viongozi mbalimbali akiwemo Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Khassim Majaliwa.
Tuliza makalio, wale wa Heche wanabebwa kutumia punda?Tumebebwa na mabasi kutoka wilaya zote za Morogoro ili kuongeza vichwa huko Kilosa. Hata sisi wa Malinyi tulikuwepo.
Zombie na hasidi tu ndiye atakayechukia hii hbrWapuuzi tu ndio watafurahia hii habari Cc lukas mwashamba
Sheria ya kwenu?
Mbona 75% wamevaa sare za CCM?.
TOFAUTI kabisa na wenzetu wa No reform No election.
Wanachama wanaokotwa mkoa mzima na malori na posho juu.Mbona 75% wamevaa sare za CCM?.
TOFAUTI kabisa na wenzetu wa No reform No election.