PreGE2025 PICHA: Ona Mapokezi kabambe ya Cde CPA Amos Makalla Kilosa kwa Mwenezi Mstaafu Cde Shaka Hamdu Shaka

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwa hali hii acha tususie tu uchaguzi, hatiwezi kushinda
 
Haya mapokezi yametumia pesa nyingi mnoo ya Wananchi walipa Kodi hapo Kila mtu ana posho hawaji wenyewe.
 
Kilosa si ndio kunalimwa Mpunga kwa wingi au ni wilaya ipi ya moro?
 
Ungeweka video clip tuthibitishe! Hizo picha za watu waliovaa nguo za kijani zinaweza zikawa za zamani.
Mkuu ungetuambia wenye Maroli yanayosomba wanachama kutoka maeneo mengine wanalipwaje?
 
Ila maoni ya waliowengi,wenye akili timamu wajanja wajuao kusoma na kuandika wapo kwenye kuisjangaa serikali inavuompa TAL umaarufu kwenye siasa.
 
ccm ya makala ni ccm yenye kuendekeza vitendo haramu vya kishetani hawawezi kupata wingi wa watu pasipo kuwasomba na mafuso toka vijijini na mitaani
 
Ila maoni ya waliowengi,wenye akilo timamu wajanja wajuao kusoma na kuandika wapo kwenye kuisjangaa serikali inavuompa TAL umaarufu kwenye siasa.
Uonevu manyanyaso kuwabambikia kesi kwa njia haramu za kishetani ccm wajinga wanajua wanamkomoa Lisu , kumbe hawajui kuwa sasa wamemsaidia kujulikana zaidi ulimwenguni kote kama ilivyokuwa mandela au Rais wa sasa wa Zambia na pia yule wa Senegal, mara nyingi watu wanaopitia manyanyaso huja kuwa neema kubwa baadae kwani hakuna mabaya yasiyo na mwisho
 
Polisiccm huwakuti kuzuia mikutano ya ccm isiyofuata sheria
 
Shaka wampe Mkoa wa Iringa kama hatagombea
 
Huo umaarufu umemmsaidia nini?
 
Sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…