Hapo kwenye kupiga kura ndio wanachanganyikiwa.ccm ya makala ni ccm yenye kuendekeza vitendo haramu vya kishetani hawawezi kupata wingi wa watu pasipo kuwasomba na mafuso toka vijijini na mitaani
Shaka ni muungwana sana
Zilikuwa chuki tuShaka si ndiyo kale Kafisadi ka kwanza ka Kopemba kutumbuliwa na JPM....!!!?
Shaka ni bonge la kiongoziView attachment 3336537
View attachment 3336519
Cde CPA Amos Makalla akiongea na Wananchi wa Kilosa.
KILOSA: Inasemekana kwa mara ya kwanza Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa Cde CPA Amos Makalla amehutubia mikutano mikubwa zaidi akiwa Wilaya ya Kilosa kuliko Wilaya yoyote hapa Tanzania bara na visiwani aliyofanya ziara akiwa Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi.
View attachment 3336524
Picha: DC Shaka Hamdu Shaka akiongea na Wananchi wakati wa ziara ya Cde CPA Amos Makalla Kilosa.
Duru za kisiasa toka Mkoani Morogoro na maeneo ya jirani zinasema Uongozi mahiri na madhubuti wa Mhe RC Adam Malima Mhe DC Shaka Hamdu Shaka vimekuwa ni chachu ya kukubalika zaidi Kwa Chama Cha Mapinduzi CCM Wilayani Kilosa na Mkoa mzima wa Morogoro.
View attachment 3336527
Picha: Mkuu wa Mkoa Morogoro Adam Malima kulia akiwa na baadhi ya Viongozi wa Mkoa huo.
Kwa mliosahau, Mkumbuke Mwenezi mstaafu Cde Shaka Hamdu Shaka ndio muasisi wa kwanza kabisa kauli mbiu ya "2025 Tunakwenda na Dkt Samia bara na Dkt Mwinyi Zanzibar" na baaadae kauli hii ikaungwa mkono na viongozi mbalimbali akiwemo Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Khassim Majaliwa.
Sio akagombee Ubunge?Angepewa ukuu wa mkoa
Unamaanisha nini?Morogoro sijui tumerogwa, Watu inept wote ndo tunapewa watuongoze
Kwa vigezo vipi?I suggest Shaka apewe U-RC
Wewe unaishi Kilosa?Kwa vigezo vipi?
Amefanya nini huko kilosa mpaka sasa..?
Achen uchawa usio na akili vijana
Ndio, kifupi hilo jimbo kuanzia kwa mbunge mpaka kwa watendaji wa kawaida tu, hakuna wanachokifanyaWewe unaishi Kilosa?
Kufuru hiiCCM hata milele na milele, Amina..!!🙏
Anafaa sanaAngepewa ukuu wa mkoa
Huyu apewe U-RC ametosha kabisaView attachment 3336537
View attachment 3336519
Cde CPA Amos Makalla akiongea na Wananchi wa Kilosa.
KILOSA: Inasemekana kwa mara ya kwanza Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa Cde CPA Amos Makalla amehutubia mikutano mikubwa zaidi akiwa Wilaya ya Kilosa kuliko Wilaya yoyote hapa Tanzania bara na visiwani aliyofanya ziara akiwa Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi.
View attachment 3336524
Picha: DC Shaka Hamdu Shaka akiongea na Wananchi wakati wa ziara ya Cde CPA Amos Makalla Kilosa.
Duru za kisiasa toka Mkoani Morogoro na maeneo ya jirani zinasema Uongozi mahiri na madhubuti wa Mhe RC Adam Malima Mhe DC Shaka Hamdu Shaka vimekuwa ni chachu ya kukubalika zaidi Kwa Chama Cha Mapinduzi CCM Wilayani Kilosa na Mkoa mzima wa Morogoro.
View attachment 3336527
Picha: Mkuu wa Mkoa Morogoro Adam Malima kulia akiwa na baadhi ya Viongozi wa Mkoa huo.
Kwa mliosahau, Mkumbuke Mwenezi mstaafu Cde Shaka Hamdu Shaka ndio muasisi wa kwanza kabisa kauli mbiu ya "2025 Tunakwenda na Dkt Samia bara na Dkt Mwinyi Zanzibar" na baaadae kauli hii ikaungwa mkono na viongozi mbalimbali akiwemo Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Khassim Majaliwa.
Anastahili zaidi ya U-RCHuyu apewe U-RC ametosha kabisa
Urongo mkubwa huuTumebebwa na mabasi kutoka wilaya zote za Morogoro ili kuongeza vichwa huko Kilosa. Hata sisi wa Malinyi tulikuwepo.
Mhe Bakari Malima, Fanya mazoezi hicho kitambi sioView attachment 3336537
View attachment 3336519
Cde CPA Amos Makalla akiongea na Wananchi wa Kilosa.
KILOSA: Inasemekana kwa mara ya kwanza Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa Cde CPA Amos Makalla amehutubia mikutano mikubwa zaidi akiwa Wilaya ya Kilosa kuliko Wilaya yoyote hapa Tanzania bara na visiwani aliyofanya ziara akiwa Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi.
View attachment 3336524
Picha: DC Shaka Hamdu Shaka akiongea na Wananchi wakati wa ziara ya Cde CPA Amos Makalla Kilosa.
Duru za kisiasa toka Mkoani Morogoro na maeneo ya jirani zinasema Uongozi mahiri na madhubuti wa Mhe RC Adam Malima Mhe DC Shaka Hamdu Shaka vimekuwa ni chachu ya kukubalika zaidi Kwa Chama Cha Mapinduzi CCM Wilayani Kilosa na Mkoa mzima wa Morogoro.
View attachment 3336527
Picha: Mkuu wa Mkoa Morogoro Adam Malima kulia akiwa na baadhi ya Viongozi wa Mkoa huo.
Kwa mliosahau, Mkumbuke Mwenezi mstaafu Cde Shaka Hamdu Shaka ndio muasisi wa kwanza kabisa kauli mbiu ya "2025 Tunakwenda na Dkt Samia bara na Dkt Mwinyi Zanzibar" na baaadae kauli hii ikaungwa mkono na viongozi mbalimbali akiwemo Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Khassim Majaliwa.
🤣🤣Mhe Bakari Malima, Fanya mazoezi hicho kitambi sio