PreGE2025 PICHA: Ona Mapokezi kabambe ya Cde CPA Amos Makalla Kilosa kwa Mwenezi Mstaafu Cde Shaka Hamdu Shaka

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Acha mapokezi ,uliza hapo zimetumika sh ngapi ,

Ccm wana pesa , mkutano mmoja wakiambiwa wabunge wote kwa kila mmoja atoe laki tatu ,lazima mkutano kuonekana kama ulivyo, nje ya hapo hakuna chama
Wewe unadhani utafanya mkutano bila gharama?
 
Hapo utakuta zile Hela zetu zisizoeleweka matumizi yake gharama inazidi kupanda .....tusubiri ripoti nyingine ya CAG mwakani
 
Kwanini wasimpe Shaka ukuu wa Mkoa?
Shaka wampe Mkoa wa Iringa kama hatagombea
Zilikuwa chuki tu
Shaka ni bonge la kiongozi
Angepewa ukuu wa mkoa
I suggest Shaka apewe U-RC
Anafaa sana
Huyu apewe U-RC ametosha kabisa
Anastahili zaidi ya U-RC
Shaka anafaa kuwa Waziri Wala sio RC
Mods unganisheni akaunti hizi za chawa mmoja anayerudia rudia maneno kama kasuku.
 
Yalitumika magari mangapi kuwasomba hao watu? Na je walirudishwa na magari hayo ama walitelejezwa?
 
Mods unganisheni akaunti hizi za chawa mmoja anayerudia rudia maneno kama kasuku.
Kwanini unaingilia mawazo ya members wenzako,

Ni ajabu gani members 3 kuwa na maoni yanayofanana?

Mimi nadhani Shaka anastahili zaidi ya hivyo vyeo walivyovitaja

Kidumu chama Cha Mapinduzi,
 
CHADEMA roho mbaya sana aisee
 
Namuona mzee Malima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…