Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Ha ha ha ha.huyu mtu enzi hizo alikuwa anatokwa mapovu hapa kumtetea Diamond sikujua kumbe ndiyo kifesi
Mauki tena?Mkuu wewe ndio kifesi, mbona jombaa umekaa km nusu wa kwetu nusu wa kwao.
Niliposikia ile clip unaongea na yule dada(shosti wako) kwamba unalalamika kuwa mauki sijui ni kapiga amekufosi umkwee, kwa jinsi ulivyokuwa unaongea, kwa asilimia 85 nikajua we jamaa ni mchicha mwiba.
Hivi punga ni kapiga au nani!?Mauki tena?
Ndo uwataje wenzio sasa.Hivi punga ni kapiga au nani!?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha kulazimisha maisha wewe pimbi, hili ni jukwaa la celeb na siyo jukwaa la wapiga picha.
Hahahaha kaka naonana kiface alikuchefuami nawewe nani kajitoa ufahamu?
dume zima ujiite kifesi eti umetoa maelezo yake huoni haya?
unatia aibu mi siwezi kuwa na hasira na wewe coz nna maisha yangu na nina kazi ya maana tu mi sijabahatisha maisha kama nyie dogo unatuzalilisha walume kwa ishu za khanga hizo