Picha: Penny Amfanyia Suprise Heaven On Desert kwenye Birthday Yake

Picha: Penny Amfanyia Suprise Heaven On Desert kwenye Birthday Yake

inabidi aige mfano wa bosi wake,kwa kuchukua mademu classic katoka kwa penny kaenda kwa wema lakini alishapitaga kwa jokate.alafu yeye yuko karibu na dai mazingira yanamruhusu kupata maduu wa ukweli
**jokes**

Kama maneno anayotumiaga kwa mademu ndo kama ushuzi anaoandikaga humu...hao mademu classic atawaonea kwa boss ake tuuu..*kidding...* haha!
 
Hivi Diamond na penseli wameachana lini? si ni wewe hapa uliapa hadi kwa miungu yako kwamba Wema na Diamond wapo kibiashara tu? sasa mbona unajichamba mwenyewe na kidole unanusa mwenyewe?

Si alikuwa anataka sifa???
 
Mkuu H.o.d naskia ile v8 boss wako dimond anayodai ni yake kumbe kaazima kwa chief kiumbe...is it tru?
 
Nashukuru kukufahamu kifesi,mimi ni kiface(kisura) pole kwa yaliyokukuta
 
hivi mwanaume unakubalije kujiita kifesi?

halafu ona nayeye alivyorembua sura kama demu

mfsssss
 
Back
Top Bottom