Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Diamond na Penny ndiyo akina nani?Mara nyingi nasoma majina yao hapa yanatajwa!
Honestly nataka kujua wao ni nani Tanzania!
Ni mawaziri mizigo wa Jk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Diamond na Penny ndiyo akina nani?Mara nyingi nasoma majina yao hapa yanatajwa!
Honestly nataka kujua wao ni nani Tanzania!
duniani kuna makauzu ila huyu bingwa aliyeanzisha huu uzi ni rais wao..dah!
duniani kuna makauzu ila huyu bingwa aliyeanzisha huu uzi ni rais wao..dah!
Ila Diamond inaonekana ana roho ya huruma kwa kuendelea kumpa kibaruwa huyu pimbi maana jamaa alivyo kauzu analazimisha na yeye awe celeb wakati ni mpiga picha. shame.
Nimejaribu kuangalia hiyo surprise siioni zaidi ya keki ya shoprite.
Huyu penny naye achoki tu kujipendekeZa kwa hawa watu mara kamfanyua birthday dada wa diamond, mara mama diamond mara kiface... Hvi hzo cent zake hana cha kufanyia, angeenda japo kumpakia mama yake rangi kwenye kale ka nyumba ka NHC anachoishi au kumnunulia kaka yake Sheiza Mungilwa Suruali size yake tungemuelewa...
Sent from my iPhone 5c using JamiiForums
teh teh teh... ni hivi diamond anamnunulia mafuta mazuri, vinginevyo.....
Ni mawaziri mizigo wa Jk
Ila jamaa una sura ngumu wewe!!
duniani kuna makauzu ila huyu bingwa aliyeanzisha huu uzi ni rais wao..dah!
Hamna kwenye cabinet la JK mwenye jina kama hilo!Pls nifundishe nijue na mm!Nifundishe nifaidikie na darasa la MMU tafadhali