Picha: Penny avalishwa pete ya uchumba.

Picha: Penny avalishwa pete ya uchumba.

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Mtangazaji maarufu nchini VJ Penny ambaye alikuwa mpenzi wa Diamond Platnumz amechumbiwa !...well kupitia Instagram Penny ameweka picha akiwa amevaa pete ya uchumba.

Pia juzi paparazi ilisikika kuwa penny amechumbiwa ingawa haikupata habari kwa kina mpaka Penny mwenyewe alipoweka picha Instagram inayoonyesha ameshachukuliwa tayari ingawa haijajulikana amechumbiwa na mwanaume gani.

Vj Penny ameandika "Road trip..........site here we come....Cc halimaKimwana1" Kwa upande mwingine nako kunasema kuwa mama Diamond amesema kuwa ni lazima Diamond amuoe Wema Sepetu.

Inadaiwa mama Diamond ameyasema hayo juzi katika birthday yake ambapo alizawadiwa gari na Diamond ambaye hakuwepo nchini lakini Wema alikuwepo kwenye shughuli hiyo.

attachment.php
 
Hongera zako Penny ata kwenye mkasi nilimuona tena salama kamtania kumbe kweli
 
Mmmmhhhhhhhhhhhh na akiivua pia atuhabarisheee
 
Mmmmhhhhhhhhhhhh na akiivua pia atuhabarisheee

Siku izi pete hazipewi heshima zake naona kila sehemu watu wanavalishwa, ndomo nae alimvalishaga mama ubaya pete club billicanas sijui iliishia wapi, huyu nae ki bichwa kajivalisha sijui ndo kavalishwa kwel atajua na mabalaa yake ila harus yake lazima tukacheze kigodor
 
Ingekua ya mama ubayaa tungeambiwaa hiyo pete thamani yake ni milion 70,
 
Ingekua ya mama ubayaa tungeambiwaa hiyo pete thamani yake ni milion 70,

Wale wanayaweza tungeamia ni special order, jana best umeona mapokez ya baba ubaya? Watu full mashauz akina mwafulan sasa na shoga ake cheus dawa kama kawa, yan ningekuwa na taarifa sahihi ningeenda kulipua bomu na mm kama Arusha
 
Hahhhhhaaaa walienda kumpokeaa eer,kwa hiyo cheusi dawa ndoa ishakufa au??mama domo ashajua kuendesha gariii/????
 
Back
Top Bottom