Picha: Penny avalishwa pete ya uchumba.

Picha: Penny avalishwa pete ya uchumba.

Wale wanayaweza tungeamia ni special order, jana best umeona mapokez ya baba ubaya? Watu full mashauz akina mwafulan sasa na shoga ake cheus dawa kama kawa, yan ningekuwa na taarifa sahihi ningeenda kulipua bomu na mm kama Arusha

Hata mi nimeona aisee mama ubaya nguo aliyovaa imeacha chakula cha watoto wazi sana hafu kawa mmama sana akikAa na domo ka mtu na mwanaye kawa bonge
 
Hahhhhhaaaa walienda kumpokeaa eer,kwa hiyo cheusi dawa ndoa ishakufa au??mama domo ashajua kuendesha gariii/????

Mwenzangu cheusi dawa ndoa haina uhai tena, kwanza nilisikia ataenda kumalizia mfungo dubai kwa mumewe naona siku zinakatika, anazidi tu kuwa kibaraka wa mama ubaya, jana mama ubaya na team yake ya kigodor hawakuwa nyuma si unamjua kwenye sekta ya mashauz hakoseag yule
 
Halafu baada ya hapo utamsikie eeeh aaaaah ushushi wa watu...si mimi bla bla bla :confused3::confused3:
 
Hata mi nimeona aisee mama ubaya nguo aliyovaa imeacha chakula cha watoto wazi sana hafu kawa mmama sana akikAa na domo ka mtu na mwanaye kawa bonge

Si mama wa nyumbani aka golikipa hana mbele wala nyuma, wacha alishwe anenepeane si ndo alichokifuata kwa ndomo , yani linatia aibu hili kujipeleka kwa mwanaume likafanywa weee mpaka kashachoka na bado anasubir ndoa, atasubir sana

Yani mama ubaya anatumia nguvu kwel kuolewa na ndomo, akina mussa mateja na wenyew wambeya eti wamesema mama ndomo kasema atahakikisha wema anaolewa na mwanae, kwanza ndomo si alisemaga wema hampend mama yake na alimwambia amfukuze wabak wajiachie na alisema alimfumania sana wema ni malaya hawez mrudia, mmh yani hawa sunchi na kapeto sio wa kuwaamini kabisa, kule china nako walisema wanacheza movie
 
Siku izi pete hazipewi heshima zake naona kila sehemu watu wanavalishwa, ndomo nae alimvalishaga mama ubaya pete club billicanas sijui iliishia wapi, huyu nae ki bichwa kajivalisha sijui ndo kavalishwa kwel atajua na mabalaa yake ila harus yake lazima tukacheze kigodor

Binamu usinivunje mbavu zangu.Eti ki bichwa ndo penny huyo?
 
Mwenzangu cheusi dawa ndoa haina uhai tena, kwanza nilisikia ataenda kumalizia mfungo dubai kwa mumewe naona siku zinakatika, anazidi tu kuwa kibaraka wa mama ubaya, jana mama ubaya na team yake ya kigodor hawakuwa nyuma si unamjua kwenye sekta ya mashauz hakoseag yule

ndoa mchezo wenzenu wanaolewa kutoa gundu tu hao we huoni wolper anavyohaha na dini ili atoa gundu!
 
Binamu usinivunje mbavu zangu.Eti ki bichwa ndo penny huyo?

Mmh penny ana bichwa la haja jamani na vile akinyoa ndo kabisa anadhihirisha uumbaji wa mungu kweny kichwa chake, kwa kwel kichwa kabarikiwa
 
mtoto wa kiswazi km mie nisipopenda umbea nipende nini tenaaa....?!!!!mtaani kwetu shurti kusutwa na benbati.....kantangazeeeee.....!

Basi leo utajinyongaa umbea keshanipa binamu kaniwekeaa pm. Leo mtajijujeeee
 
Back
Top Bottom