Picha: Penny avalishwa pete ya uchumba.

Picha: Penny avalishwa pete ya uchumba.

Sijambooooo za swaumu!!!!umbea leo sitoi mpaka mmwite warumi ajee

Swaumu hiyoooo inasogea..yaani hata kunikaribisha hamna!
warumi njoo huku mi nataka umbea kabla sijabanwa
 
Last edited by a moderator:
Yaan umbea binam kanipa mzuriii mpaka nimekanganyikiwaaa ee nibembelezepoo kidogooo

please my switie,honey,my antenna unaeniondolea chengachenga kwenye umbea wangu nifinye skio tafwazaliii...!my couzin my binamu my my my......nkija mwanza ntakuletea foleni ya dar!
 
please my switie,honey,my antenna unaeniondolea chengachenga kwenye umbea wangu nifinye skio tafwazaliii...!my couzin my binamu my my my......nkija mwanza ntakuletea foleni ya dar!

Hahhhhhhaaaaaaaa sitak foleni mieeee khaaa unaniua mbavuuuu
 
Back
Top Bottom