love life live life
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 2,584
- 3,051
Huyu ni Peter Kibatala baada ya kesi alokuwa akisimamia kushinda/kumalizika
Hapa akiwa na ma file yote tangu kesi inaanza hadi kufikia mwisho.
Hongera sana wakili msomi kwa kazi nzuri.
Mungu azidi kukubariki kwa kazi nzuri.
hamna lolote amefanya, ashukuru Shekhe
na huu mshono wa hii kaunda banaView attachment 2138407
Sijui kama atatiwa hatiani mtu hata mmoja wakimwajiri ^Key-bar-tala^Hivi kwa nini serikali isiajiri akina kibatala na malya wao ndo wawe mawakili wa serikalili
Sent using Jamii Forums mobile app
Mshono kama huu unaitwa 'pisha nijambe'na huu mshono wa hii kaunda banaView attachment 2138407
Tumepigwaje wakati sisi ndo tumefuta, kwa hiari yetu, hivi hujui serikali iliyopo ni serikali ya ccm, hivyo dpp kama mfanyakazi/wakili wa serikali huwezi kumtenganisha nasi, tumewasaidia tu, ila tumewanyoosha kudadeki. (utani, usichukulie personal).Poleni Mataga kwa kupigwa na kitu kizito.
Kwa niniSijui kama atatiwa hatiani mtu hata mmoja wakimwajiri ^Key-bar-tala^
Bora angekuja na toroliHuyu ni Peter Kibatala baada ya kesi aliyokuwa akisimamia kushinda/kumalizika
Hapa akiwa na ma file yote tangu kesi inaanza hadi kufikia mwisho.
Hongera sana wakili msomi kwa kazi nzuri.
Mungu azidi kukubariki kwa kazi nzuri.
leo ndo nmeamini viongozi wa dini wana nguvu ndani ya serikalihamna lolote amefanya, ashukuru Shekhe
Ukiwapelekea chakula uwaruhusu nao wakupelekee moto si unajua tena baada ya kaz burudanNajitolea kupeleka chakula cha mafundi site watakaokuwa wanajenga huo mnara.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwani Pengo mwenyewe kasemaje?leo ndo nmeamini viongozi wa dini wana nguvu ndani ya serikali
Moto watakupelekea wewe. Mimi nimechagua kuwapelekea chakula, sio mbaya na wewe ukiwasogezea hiyo huduma karibu.Ukiwapelekea chakula uwaruhusu nao wakupelekee moto si unajua tena baada ya kaz burudan
Hapana mimi ni fundi ndio nikaomba kwa niaba ya wenzanguMoto watakupelekea wewe. Mimi nimechagua kuwapelekea chakula, sio mbaya na wewe ukiwasogezea hiyo huduma karibu.
Fundi utakuwa wewe[emoji57][emoji57]Hapana mimi ni fundi ndio nikaomba kwa niaba ya wenzangu
Ndio mi fundi.We tuletee hiyo chakula yako tuile wakati nasimamisha mnara!.Fundi utakuwa wewe[emoji57][emoji57]