Picha: Peter Kibatala akiwa kaelemewa mafaili baada ya kumaliza shughuli yake

Picha: Peter Kibatala akiwa kaelemewa mafaili baada ya kumaliza shughuli yake

Huyu ni Peter Kibatala baada ya kesi alokuwa akisimamia kushinda/kumalizika

Hapa akiwa na ma file yote tangu kesi inaanza hadi kufikia mwisho.

Hongera sana wakili msomi kwa kazi nzuri.

Mungu azidi kukubariki kwa kazi nzuri.


zitto.jpeg
 
Poleni Mataga kwa kupigwa na kitu kizito.
Tumepigwaje wakati sisi ndo tumefuta, kwa hiari yetu, hivi hujui serikali iliyopo ni serikali ya ccm, hivyo dpp kama mfanyakazi/wakili wa serikali huwezi kumtenganisha nasi, tumewasaidia tu, ila tumewanyoosha kudadeki. (utani, usichukulie personal).
 
Najitolea kupeleka chakula cha mafundi site watakaokuwa wanajenga huo mnara.
Ukiwapelekea chakula uwaruhusu nao wakupelekee moto si unajua tena baada ya kaz burudan
 
Moto watakupelekea wewe. Mimi nimechagua kuwapelekea chakula, sio mbaya na wewe ukiwasogezea hiyo huduma karibu.
Hapana mimi ni fundi ndio nikaomba kwa niaba ya wenzangu
 
Back
Top Bottom