Picha: Polisi sharia ni nini ? Hatujazoea hizi lugha huku Tanganyika

Picha: Polisi sharia ni nini ? Hatujazoea hizi lugha huku Tanganyika

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,155
Reaction score
2,704
184582.jpg

Hii haijatumika kimakosa, tunajua Polisi wanaanza kuingia taratibu kwenye Lugha za Kiislamu, maneno Sharia, Kadhi na mengine itabidi tuyazoee, lakini isiwe ghafla hivi jamani !!!
 
View attachment 3510850
Hii haijatumika kimakosa, tunajua Polisi wanaanza kuingia taratibu kwenye Lugha za Kiislamu, maneno Sharia, Kadhi na mengine itabidi tuyazoee, lakini isiwe ghafla hivi jamani !!!
Could be a type error or muhusika ni dini fulani

What ever it is imekosewa. Neno sheria tu ndio lina exist kwenye katiba. Hilo sharia is another things
 
Duh,
Mbuyu huanza kama mchicha,
Ukute hizi message sasa zinasambazwa kutoka Zenji
 
Back
Top Bottom