Picha: Pozi la mdude Nyagali hii ni baada ya mateso ya jela kupona

Picha: Pozi la mdude Nyagali hii ni baada ya mateso ya jela kupona

Mungu ambariki zaidi,aliyemfanyia wepesi akatoka jela,yeye na wengineo waliotoka.
Wazanzibar ni watu wanaosahau haraka sana ! Mateso yote mliyopewa na ccm eti leo kuachiwa UAMSHO mnataka kila mtu awe upande wa Hangaya !

Ni hivi , Uamsho waliachiwa kwa hisani ya Rais , lakini Mdude aliishinda Serikali ya Tanzania Mahakamani , baada ya Mahakama kubaini kwamba alibambikiwa madawa ya kulevya na polisi ili kumkomoa

So that , hatutathubutu kumshukuru mtu yeyote zaidi ya Mwenyezi Mungu
 
Ha ha
Afu jamaa ni mshamba sana.
hajawahi kusema yeye ni mjanja wa mjini

mshamba he may be but he is good at what he does, he looked Magufuli in the face and shook up his rather ruthless regime
 
Kuna wazazi wamepata hasara sana, moja wapo wa hao wazazi ni wale wa huyu mdude...
Acheni hizi kauli za kipuuzi za kuwa drag wazazi kwenye issues za watoto wao. Wewe hapo wazazi wako wamefaidika na nini? Unaweza kukuta bado ni mzigo kwao mpaka wamekuchoka. Kujuficha kwako kwenye ID kusikufanye uwe lofa.
 
BANDUA BANDIKA

KAZI INAENDELEA , asije kurelax sana , maana haya makec huwa ni kubandika bandua
 
Back
Top Bottom