Picha: Rais JK atembelea na kukagua jengo la bunge kuangalia jinsi wabunge wa katiba 600 watavyokaa



Kama watachaguliwa RANDOMLY na JK sio tatizo sababu watu hao watakuwa huru kujadili hiyo KATIBA; Sidhani sababu RAIS kaniteua nitampa atakacho sijui Rais anataka nini kwenye KATIBA...
 
nngu007 acha kupotezea ulipigwa mkwara kuwa we ni mtumishi mamluki wa seikali!

Oh Mkwara gani huo? sikiliza IWE ISIWE huyo MTU hawezi kunifikia nilipo; I'm PROTECTED by the RULE OF LAW of the POWERFUL NATION IN THE WORLD... and they appreciate my contribution...

Sasa kama huyo Jamaa ana ubavu tell him to continue... Mwambie ninamsubiri... Lakini ajue kuwa AKISHINDWA HIYO KESI na atashindwa Malipo ni kwa DOLA sipokei hela za MADAFU...

Hapo ndipo atakapo jifunza kutochezea Wanadamu... HUMAN BEINGS are REMARKABLE EH!!! Yaani na nyie Mnadhani that small thing wil stop my RIGHT to EXPRESS MY FREEDOM...

Nimeshasema Mimi ni Mtanganyika I will support the ruling GVT when they are RIGHT and I WILL CRITICIZE the ruling GVT if and when they are WRONG...

Mimi sina KADI ya CHAMA CHOCHOTE cha kisiasa; lakini nilikulia enzi za CCM...


c.c Ame; duchi
 
Kuna tofauti ipi kati ya ukumbi huu Bunge la kawaida na bunge la Katiba?Ama mleta haoja anataka aonekane naye ana uzi kaweka jamvini?Aibu tupu!

Bunge la kawaida lina watu 350 na hili la katiba lina watu 700......kuna tenda kibao hapo kulibalisha
 
Sasa huyu Ndugai ujanja wote akikutana na Kikwete anakuwa hoi!! Yaani picha zote mkono kaweka tumboni utafikiri mtoto wa shule, yaaani hadi anaboa, kama ni heshima; heshima gani hiyo khaaaaaaaaa!
Ukionana nae wewe utakunya kabisa.
 
Kusoma huelewi basi hata picha huoni?

Umeambiwa kwa sasa wabunge ni 354 (tazama viti vyekundu), Bunge la katiba watu 600, tazama viti vyeusi.

Upo hapo ulipo?
Sio vizuri kumuambia masikini wa akili ukweli.

Umeniumiza mbavu zangu sasa....
 
Mmesahau kuwa wabunge wataongezeka baada ya marekebisho ya katiba na kuwa zaidi ya 900?
 
NYinyi watu wa Ikulu msipotoshe umma, muwe mnakuwa realistic, wakati raisi anakutana na vyama vya siasa na kukubaliana kufanya marekebisho katika vipengere kikiwemo cha kuongeza idani ya wjumbe hamkuwepo nyinyi kina Salva?
 

Should I be sincere to you? I see! next time hata ukipigwa mkwala mute tu inasaidia sana kum confuse your enemy kuliko hivi unavyoji expose! Hata mm tu nimeshakusoma hofu uliyonayo....

I think you have all the rights to criticize kwani its your number one right kama raia halali wa nchi hii!
 
Kusoma huelewi basi hata picha huoni?

Umeambiwa kwa sasa wabunge ni 354 (tazama viti vyekundu), Bunge la katiba watu 600, tazama viti vyeusi.

Upo hapo ulipo?

Bweha ni bweha tu hata akajiita Foxy.
 
Bweha ni bweha tu hata akajiita Foxy.

Hahahahahahaha, mwajulikana, mkikosa hoja mnaanza viroja. Umekushuka.

Chadema bila matusi na lugha chafu haiwezekani....CHADEMA na Matusi ni kama Samaki na Maji! - Chris Lukosi
 
Last edited by a moderator:
nngu007 acha kupotezea ulipigwa mkwara kuwa we ni mtumishi mamluki wa seikali!

Mkwara gani? Mimi bado nipo wao ndio wamekimbia sijui wamekwenda MISITUNI? I'm still here boosting around... Umewasikia tena? LA HASHA... Niliwaambia kuwa wakileta hicho cha kibaguzi cha CCM wajitayarishe na kwenda MAHAKAMANI ya HAKI na MALIPO ni DOLLARS.. waliacha kandambili.... vumbi tuuu nyuma!!!! LOL... WHAT A FREEDOM of SPEECH...

c.c Ame
 
Reactions: Ame
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…