Hongera Rais wetu kwa kuwa na moyo wa aina hiyo kwa MAPREZIDAA wengine sijawai ona!hii inaitwa UPENDO!
Sasa hapa kuna watu tayari wameshaanza kitafsiri vingine jmani basi mara moja moja tuwe tunafurahia pale RAIS WETU ANAPOJICHANGANYA NA WANANCHI AMA HIVI....sasa mimi wakati mwaingine huwa sielewi huwa Wa Tz TUNATAKA NINI hasa kutoka kwa RAIS! akisafili.....oooh kasafiri sana,akitulia nyumbanisasanile na watoto wangu chakula au FUTARI kwa mwazi mtukufu basi eti ametumia pesa za walipa kodi vibaya...ivi wewe unajua Rais ANA MFUKO WA Social Events?au hujui?ndo mana hata siku za sukukuu huwa mara nyingi anatoa hata chakula kwenye vituo vya watoto yatima na n.k
Basi sio kila kitu anachokifanya ni kibaya mi binzfsi namkubali sana sema tu watendaji wengine baadhi wanamwangusha huo ndo ukweli wa mambo!