Wewe na familia yenu usituingize kwenye laana yako.Huyo ndo rais wetu dah! tumelaaniwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe na familia yenu usituingize kwenye laana yako.Huyo ndo rais wetu dah! tumelaaniwa.
Utakoma inakuuma kuona wasanii wetu wameketi na jk akiwapa moyo wewe unapenda wasanii muwatumie tu na kuwachangusha fedha basi.huyu rais yenyu watu wa tz, haiko serious. yeye badala ya kufanya vitu yenye itawaletea maendelo, yeye yuko kwa kutembea na kucheka kwa picha
Uhuru wa kuongea unao, vifaa vya kuongelea unavyo, mazingira na jukwaa la kuongelea umepewa na waanzilishi wa JF, kinachokosema ni courage ya kujitokeza kama verified user na kutoa allegation zako hizi ili kuubeba ukweli na uwongo, kinyume cha hivyo, hizi ni kelele tu za debe tupu na kujifurahisha ili kuiosha roho yako ya kiudaku na uzandiki.Anaconda na Prof Jay Haule MC Shupavu hawakualikwa na vile sio Punda wa kubeba Sembe za Riziwani. Naona Team Ruge ilihusika kugawa mialiko maana msanii nguli kuliko wote Mr Sugu angekuwepo kuwaonyesha vijana njia but kwa vile ni mpinzani kisiasa asije ikulu.
Uhuru wa kuongea unao, vifaa vya kuongelea unavyo, mazingira na jukwaa la kuongelea umepewa na waanzilishi wa JF, kinachokosema ni courage ya kujitokeza kama verified user na kutoa allegation zako hizi ili kuubeba ukweli na uwongo, kinyume cha hivyo, hizi ni kelele tu za debe tupu na kujifurahisha ili kuiosha roho yako ya kiudaku na uzandiki.
Wewe siyo wa kwanza na hautakuwa wa mwisho kuleta empty utterance za kichekechea kwa sababu hakuna duka linalouza ratiocinate.
DJ choka Yupo redio gani sahivi?

Slaa vipi mbona hatusikii akifuturisha wananchi wowote?
Pamoja sana mwanadiwani kwa sasa hatudanganyiki hata wakifanya nini chadema janja yao tushaijua.