Picha:Rais Kikwete afuturisha wasanii ikulu

Picha:Rais Kikwete afuturisha wasanii ikulu

Status
Not open for further replies.
huyu rais yenyu watu wa tz, haiko serious. yeye badala ya kufanya vitu yenye itawaletea maendelo, yeye yuko kwa kutembea na kucheka kwa picha
Utakoma inakuuma kuona wasanii wetu wameketi na jk akiwapa moyo wewe unapenda wasanii muwatumie tu na kuwachangusha fedha basi.
 
Anaconda na Prof Jay Haule MC Shupavu hawakualikwa na vile sio Punda wa kubeba Sembe za Riziwani. Naona Team Ruge ilihusika kugawa mialiko maana msanii nguli kuliko wote Mr Sugu angekuwepo kuwaonyesha vijana njia but kwa vile ni mpinzani kisiasa asije ikulu.
Uhuru wa kuongea unao, vifaa vya kuongelea unavyo, mazingira na jukwaa la kuongelea umepewa na waanzilishi wa JF, kinachokosema ni courage ya kujitokeza kama verified user na kutoa allegation zako hizi ili kuubeba ukweli na uwongo, kinyume cha hivyo, hizi ni kelele tu za debe tupu na kujifurahisha ili kuiosha roho yako ya kiudaku na uzandiki.

Wewe siyo wa kwanza na hautakuwa wa mwisho kuleta empty utterance za kichekechea kwa sababu hakuna duka linalouza ratiocinate.
 
naona hata wasanii waliofulia wamekwenda.....usifanye mchezo na futari ya mkulu
 
Slaa vipi mbona hatusikii akifuturisha wananchi wowote?
 
Uhuru wa kuongea unao, vifaa vya kuongelea unavyo, mazingira na jukwaa la kuongelea umepewa na waanzilishi wa JF, kinachokosema ni courage ya kujitokeza kama verified user na kutoa allegation zako hizi ili kuubeba ukweli na uwongo, kinyume cha hivyo, hizi ni kelele tu za debe tupu na kujifurahisha ili kuiosha roho yako ya kiudaku na uzandiki.

Wewe siyo wa kwanza na hautakuwa wa mwisho kuleta empty utterance za kichekechea kwa sababu hakuna duka linalouza ratiocinate.

c umemuona mkenya alie toa comment ya kwanza hapo juu.?hvo ndio tunavodharaulika waTZ kwasababu ya kikwete..
 
Haya ndiyo matumizi mabaya ya kodi za Watanzania. Afadhali pesa hiyo ingenunua dawa/vitanda kwa hospitali zetu
 
Futari na wasanii wa Bongo flavour wapi na wapi?
Hivi Kikwete anaujua uislam au anataka kututukana waislam?
Nadhani Kikwete anatafuta shari tu, inafanya mfungo mtukufu wa Ramadhan kama mzaha hivi.

Binafsi mimi sioni maana ya hicho alichokifanya na kitendo chake cha kuingiza uislam katika hiyo hafla.

Zaidi naona ni ujanja wa Kikwete kuwa-Lobby wasanii wa kizazi kipya ili wampe back up katika siasa zake.
 
nature kibla hayupo, prof j jdee, sugu, na afande sele wote chadema hawajaitwa ila punda zote zimeitwa...ccm
 
Uhuru wa kuongea unao, vifaa vya kuongelea unavyo, mazingira na jukwaa la kuongelea umepewa na waanzilishi wa JF, kinachokosema ni courage ya kujitokeza kama verified user na kutoa allegation zako hizi ili kuubeba ukweli na uwongo, kinyume cha hivyo, hizi ni kelele tu za debe tupu na kujifurahisha ili kuiosha roho yako ya kiudaku na uzandiki.

Wewe siyo wa kwanza na hautakuwa wa mwisho kuleta empty utterance za kichekechea kwa sababu hakuna duka linalouza ratiocinate.

Na wewe resources za kututoa kucha na meno bila ganzi a.k.a Ramadhani Ighondu unazo, mabomu ya kutulipua kama ulivyolipua Soweto Arusha unayo...

Kama umeingia kwenye hili jukwaa lazima uheshimu maoni ya watu wengine, mbona wewe unatumia Jina la MwanaDiwani hutumii jina lako kamili, ambalo kimsingi ndio jina Ovu kuliko yote Tanzania kwa sasa. Wewe mambo ya burudani umeyakuta ukubwani baada ya kuja mjini, sisi tuko mjini longtime toka Enzi za akina Swalleh Jabir wanarap kwa kukopi nyimbo za watu, huwezi kuniambia habari za wanamuziki au wasanii wa bongo kualikwa Ikulu bila majina Kama Sugu, Jide na Prof Jay kuwemo. Tena Sugu ni mbunge wa kuchaguliwa na wananchi maana yake tayari ni role model kwa hao Punda wa Riziwani mliowaalika. Kama mna nia njema na mnataka thawabu toka kwa Mwenyezi Mungu msingeandaa futar na watu mnaowapenda halafu mkawaacha mnaopingana kimaslahi au kisiasa. Kwani Tanzania radio ni Clouds tu, mbona watangazaji wa redio zingine hamjawaalika kula futari? Mnaingiza unafiki hadi Ikulu kwa kumshauri rais wetu vibaya, huyo ni rais wa wasanii wote, sio rais wa wasanii vibaraka wa Ruge tu. Njoo tukupe shule ya Public Relations wewe mlibereli
 
Ikulu imepoteza HADHI yake kabisa,Siku hizi huwezi kuitofautisha Ikulu na Club Billicanas.Acha Tanzania tudharaulike maana yapo mambo mengi yanayotudharaulisha kama Taifa.So sad!
 
Ikulu ni sehemu takatifu lkn JK kaifanya kama pango la kuwakaribisha MAKAHABA!
 
Ndio maana kila mtu siku hz anaona anaweza kuwa rais
 
Pamoja sana mwanadiwani kwa sasa hatudanganyiki hata wakifanya nini chadema janja yao tushaijua.

Mataahira utawajua tu kwa kuandika pumba. Akili za kushikiwa ni hatari sana katika maendeleo ya nchi.
 
Sugu, Prof Jay, Juma Nature n Afande Sele plus A-Towners wengi hawapo. Vipi Clouds ndio walioratibu au?
 
Badala ya kuwakaribisha wenye viwanda,wakulima wakubwa,wafugaji,wataalam wamshauri yeye anakutana na wabeba unga
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom