Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe resources za kututoa kucha na meno bila ganzi a.k.a Ramadhani Ighondu unazo, mabomu ya kutulipua kama ulivyolipua Soweto Arusha unayo...
Kama umeingia kwenye hili jukwaa lazima uheshimu maoni ya watu wengine, mbona wewe unatumia Jina la MwanaDiwani hutumii jina lako kamili, ambalo kimsingi ndio jina Ovu kuliko yote Tanzania kwa sasa. Wewe mambo ya burudani umeyakuta ukubwani baada ya kuja mjini, sisi tuko mjini longtime toka Enzi za akina Swalleh Jabir wanarap kwa kukopi nyimbo za watu, huwezi kuniambia habari za wanamuziki au wasanii wa bongo kualikwa Ikulu bila majina Kama Sugu, Jide na Prof Jay kuwemo. Tena Sugu ni mbunge wa kuchaguliwa na wananchi maana yake tayari ni role model kwa hao Punda wa Riziwani mliowaalika. Kama mna nia njema na mnataka thawabu toka kwa Mwenyezi Mungu msingeandaa futar na watu mnaowapenda halafu mkawaacha mnaopingana kimaslahi au kisiasa. Kwani Tanzania radio ni Clouds tu, mbona watangazaji wa redio zingine hamjawaalika kula futari? Mnaingiza unafiki hadi Ikulu kwa kumshauri rais wetu vibaya, huyo ni rais wa wasanii wote, sio rais wa wasanii vibaraka wa Ruge tu. Njoo tukupe shule ya Public Relations wewe mlibereli
Sijamuona Profesa Jay!!! Atakua anajuta sana kwa kujiunga na Chadema

Strategy nzuri ya maandalizi ya Kampeni wakati utakapofika 2015. Hao wakikuunga mkono na kukuimba vizuri ujumbe unafika haraka.
Sema kakutana na PUNDA wa Mwanaye Riziwani.....
Anaconda na Prof Jay Haule MC Shupavu hawakualikwa na vile sio Punda wa kubeba Sembe za Riziwani. Naona Team Ruge ilihusika kugawa mialiko maana msanii nguli kuliko wote Mr Sugu angekuwepo kuwaonyesha vijana njia but kwa vile ni mpinzani kisiasa asije ikulu.
U have a point bro!
1. Futari ingeonyesha upendo kwa wote bila ubaguzi
2.Inavyoonekana imebase kwenye station moja tu
3. Kutokuwepo kwa waasisi wa mziki wa kizazi kipya kama prof jay,jay dee,nature,sugu,afande sele ni wazi haileti picha nzuri
4.Hii inaonekana kabisa imeandaliwa na radio station flan
It is not good for a president kuingilia ugomvi btn wasanii na radio station!
M sure kikwete hao wasanii wakubwa walioachwa anawajua vizuri na mchango wao katika jamii
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Jk ni mtu wa watu