Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanaacha kufuturisha maskini wanafuturisha wa2 wenye uwezo
Wengi wao ikifika 2015 watatumiwa ktk kampeni za chama tawala for the sake of 2013 iftar.
Mkulu atoe singo tu, tujue ni msanii wa bongo fleva, tunajua ni msanii lakini hatumsomi ni msanii wa nini.!
mmmmmmmmm madame mbona wa kristo wapo tena wengi.adamu mchovu,ambwene isaya,b 12,marlow na wengine wengi..ushaanza kutia udini mama la mamaaa acha hizo bana
Hongera Rais wetu kwa kuwa na moyo wa aina hiyo kwa MAPREZIDAA wengine sijawai ona!hii inaitwa UPENDO!
Sasa hapa kuna watu tayari wameshaanza kitafsiri vingine jmani basi mara moja moja tuwe tunafurahia pale RAIS WETU ANAPOJICHANGANYA NA WANANCHI AMA HIVI....sasa mimi wakati mwaingine huwa sielewi huwa Wa Tz TUNATAKA NINI hasa kutoka kwa RAIS! akisafili.....oooh kasafiri sana,akitulia nyumbanisasanile na watoto wangu chakula au FUTARI kwa mwazi mtukufu basi eti ametumia pesa za walipa kodi vibaya...ivi wewe unajua Rais ANA MFUKO WA Social Events?au hujui?ndo mana hata siku za sukukuu huwa mara nyingi anatoa hata chakula kwenye vituo vya watoto yatima na n.k
Basi sio kila kitu anachokifanya ni kibaya mi binzfsi namkubali sana sema tu watendaji wengine baadhi wanamwangusha huo ndo ukweli wa mambo!