huyu rais yenyu watu wa tz, haiko serious. yeye badala ya kufanya vitu yenye itawaletea maendelo, yeye yuko kwa kutembea na kucheka kwa picha
Sasa hivi hayupo katika kuongoza bali anafikiri itakuwaje kwa maana kuna uwezekano wa kukabidhi nchi kwa upinzani. Pia si unajua? Chukua Chako Mapema!Kumbe JK bado yupo katika Kampeni?Lakini sishangai kwani JK amekuwa busy na Kampeni badala ya kuongoza kwa muhula wote wa kwanza.Nikadhani baada ya Uchaguzi wa 2010 sasa ataanza kutuongoza nahisi nilikosea kumbe mwenzetu Kampeni hazijaisha?
sina tatizo na ufuturishaji au dina whatever u cal it! Ila priority kwa makundi! Ningefurah kama angewaandalia vijana waliongoza kwenye semester/term iliyopita! Au walimu wao! Au madaktari etc! Ila ndo hivyo tena taifa lishakuwa la mateja na ndio tunaowapa kipaumbele!
|
|
| Rais Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Wasanii wa Bongofleva,Ally Kiba na mdogo wake Abdull Kiba. |