Picha:Rais Kikwete afuturisha wasanii ikulu

Status
Not open for further replies.
Imekaa vizuri. Haimaanishi kwamba kama wewe ni Rais, basi siyo binadamu.. Hata Rais naye ana 'role models'..
 




Umeuliza maswali mazuri haswa hiyo ya tatu. Kwa kweli mimi sioni msanii wowote wa flev kuwa kioo cha jamii. wasanii wa fleva wote wapigwe ban kama taifa Stars kwani wao ndo wauza unga wakubwa eti leo hii wanakwenda kubembelezwa Ikulu wasibwie unga kwa sana na kuvuta bangi. Ikulu si sehemu ya hawa watu kwani hawastahili kuwepo pale.
 
Wasanii wengi wanahamia CDM, naona hii ni aina ya kuwasainisha mkataba wa kutumika 2015, wao wanachekelea bila kujua.
 
GK ndo kaniacha hoi na tabasamu lake.. sijui mchecheto..
 
Sifahamu dhana ya kufuturisha imekaaje!
Je wanaoalikwa ni Bongofleva Waislamu au wote?...
Na je unapomfuturisha mtu mwenye uwezo wa kutosha (kama hao Bongofleva) na kuwaacha wananchi masikini wanaofukuzana kupata muhogo wa kuokota ili kuandaa futari, ni swahihi?
 

nadhani hawa walinzi wa viongozi (bodigadi) wana kazi za ziada sometime!
 
Tunasubiri msururu wa wasanii wa bongo fleva kupigana vikumbo kuipigia kampen CCM 2015. Kila jambo lina sababu zake.
 
Je na huku kugusanisha naniliu kunaruhusiwa wakati wa mfungo, au wakati mwingine wowote?
 
Baadhi ya wasanii aliopiga nao picha ni Makontena ya kubebea Sembe! Ndio maana hata Sugu hakuwezi kushiriki katika huo usanii!
 
Ndo maana hata kagame ana2dharau na ku2tukana.... Ha2na maana ya kuona ya maana..ma shwain
 

yeye mwenyewe ni international artist
 
Dr Slaa, akiona hivi basi roho inamuuumaaa!
 
Halafu wakifa anawapotezea kama alivyompotezea Ngwair.
 
Vp watoto yatima na wasiojiweza watafuturishwa lini? au haipo kwenye ratiba maana leo ni Ramadhani 27 .....................
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…