Picha: Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akutana na Samatta Ubelgiji

Angegunduwa wizi wa mchanga zamani lakini badala yake alitumia pesa za Watanzania kupata mitaa ya Europe. Unaenda via tu vyake vimenunuliwa na shida zetu.
Kamati ya Jaji Bomani ilikuwa ni kwa ajili ya nini?! TMAA ambao walitumia hadi pesa za walipa kodi kwenda Uchina na Japan walipelekwa huko kufanya nini?!
 
Katuachia mashimo matupu na migogoro ya kisiasa na kidini.... Hafai hata robo
 
Jk, ana enjoy life hana chuki na maisha ya mtu wala hana wivu na kitu cha mtu lazima a shine tu kila siku, yaani ndio kwanza kama ana miaka 35 hapo sura tabasamu safi mwili safi..
 
Proud for what? Ameteuliwa kwaajiri ya ukimya wa Watanzania. This man does not deserve even to manage a chicken farm, WACHA kusuluwisha shida za Libya. He was not born to lead, Atasuluhisha nini Wakati Tanzania kaiacha hoi? Pengine wengemkaribisha kushangilia mpira ama taarabu. Walio kuchaguwa hawajui, he is not fit for any leadership.
Hayo ni maoni yako, ni haki yako kutoa maoni
 
Vimenunuliwa na jasho la Watanzania waliowachwa kwenye mataa kwa uongozi wake duni. Angegunduwa wizi wa mchanga zamani lakini badala yake alitumia pesa za Watanzania kupata mitaa ya Europe. Unaenda via tu vyake vimenunuliwa na shida zetu.
Acha wivu wa kipumbavu wewe...!! Ina maana alikuwa halipwi mshahara..?? Itafikia wkt mtasema mpk boxer zake ni kodi zenu wkt tulimchagua wnyw. Huo mchanga ulianza toka 97, na Magu alikuwa bungeni toka 95, kwann asingezuia hiyo mikataba ya madini kupita..??? Wote ni walewale tu. Hta ungekuwa ww ndo JK, hakuna kipya ambacho ungefanya.
 
Wivu nimuonee nani? Mimi simushangilii yeyote mwenye kudhurumu walio wengi. Kazi gani aliyekuwa akifanya zaidi ya kusafiri. Angefanya kazi makonteina yangepitishwa bila ya kodi, siyo haya ya mchanga Yale yakiingizwa mchana na usiku bila ya kodi. Angeidhinisha pesa za escrow kugawanywa Wakati watoto wetu wanakaa chini? Angefunguwa macho angeuona huu mchanga mbona Rais Magufuli ameuona, ni kwa kuwa anaipenda nchi yake. Kikwete anajipenda yeye mwenyewe na siyo Watanzania.
 
Pole Mzalendo wetu lakin unapaswa kujua kuwa Hata Nyerere aliacha Wanafunzi wanakaa chini Mashuleni!

JPM kaona huo Mchanga unaosafirishwa lakin hajaona kuwa Kilo 50 za Mahindi zinauzwa ghali kuliko za Cement
 
Proud for what? Ameteuliwa kwaajiri ya ukimya wa Watanzania. This man does not deserve even to manage a chicken farm, WACHA kusuluwisha shida za Libya. He was not born to lead, Atasuluhisha nini Wakati Tanzania kaiacha hoi? Pengine wengemkaribisha kushangilia mpira ama taarabu. Walio kuchaguwa hawajui, he is not fit for any leadership.
Ww una akili kuliko wazungu waliomchagua ? Acha chuki binafsi
 
Proud for what? Ameteuliwa kwaajiri ya ukimya wa Watanzania. This man does not deserve even to manage a chicken farm, WACHA kusuluwisha shida za Libya. He was not born to lead, Atasuluhisha nini Wakati Tanzania kaiacha hoi? Pengine wengemkaribisha kushangilia mpira ama taarabu. Walio kuchaguwa hawajui, he is not fit for any leadership.

Kajifunze kwanza Kiswahili

'Kwaajiri ', 'kusuluwisha Shida za Libya',

Wewe Kibwengu huna tusi jipya la kumtukana Jk ambalo Ma Bwana zako hawakuwahi kumtukana lakin Jamaa anazid ku shine na hata bata zinachinjwa Kama kawa!

Achana na Jk kamsaidia Ngosha kupigania Michanga Isisafirishwe lakin ajue Bei ya kilo 50 za Mahindi kwa sasa ni ya Juu kuliko ya Cement
 
Wivu nimuonee nani? Mimi simushangilii yeyote mwenye kudhurumu walio wengi. Kazi gani aliyekuwa akifanya zaidi ya kusafiri. Angefanya kazi makonteina yangepitishwa bila ya kodi, siyo haya ya mchanga Yale yakiingizwa mchana na usiku bila ya kodi. Angeidhinisha pesa za escrow kugawanywa Wakati watoto wetu wanakaa chini? Angefunguwa macho angeuona huu mchanga mbona Rais Magufuli ameuona, ni kwa kuwa anaipenda nchi yake. Kikwete anajipenda yeye mwenyewe na siyo Watanzania.
Kwani mchanga umeanza kusafirishwa wakati wa JK ? Kama sio mbona unamlaumu yy pekee ? Ww unafikiri mchanga ndio kila kitu " ? Acha kujidanganya
 
Achana nae huyo 'Mtoto wa watu'

Hajui kuwa hata baada ya hili igizo Mchanga utaendelea kusafirishwa Kama kawa!
 
Wakati Watanzania wanashituka na wizi wa Mali zao, Rais mstaafu mpenda raha aliyechangia kuiweka tanzania kwenye hali ngumu, anatumbuwa maisha bila ya kujali kwa pension inayolipwa na Watanzania. Kweli dunia haina usawa.
Sio kweli , pia hakuna mtu asiependa raha
 
Kwani mchanga umeanza kusafirishwa wakati wa JK ? Kama sio mbona unamlaumu yy pekee ? Ww unafikiri mchanga ndio kila kitu " ? Acha kujidanganya

Sijidanganyi, muchanga sio kitu pekee, ni kimojawapo. Hata kama Kikwete alikuta, Wakati wa campaign zake ALISEMA serikali mpya NGUVU mpya, na ufisadi hautakuwepo kwenye serikali yake. Watanzania tunasahau haraka. Kwenye utawala wake nchi ikakabithiwa cartels.
 
Kajifunze kwanza Kiswahili

'Kwaajiri ', 'kusuluwisha Shida za Libya',

Wewe Kibwengu huna tusi jipya la kumtukana Jk ambalo Ma Bwana zako hawakuwahi kumtukana lakin Jamaa anazid ku shine na hata bata zinachinjwa Kama kawa!

Achana na Jk kamsaidia Ngosha kupigania Michanga Isisafirishwe lakin ajue Bei ya kilo 50 za Mahindi kwa sasa ni ya Juu kuliko ya Cement

Nimegundua kisomo chako ni kidogo hata nikukueleza ni vigumu kuelewa. Haujuwi tofauti mtu mwenye ubinafsi na ambaye hana. Kikwete alikuwa ameajiliwa na Watanzania hakufanya kazi yake sawa full stop.
 
Sijidanganyi, muchanga sio kitu pekee, ni kimojawapo. Hata kama Kikwete alikuta, Wakati wa campaign zake ALISEMA serikali mpya NGUVU mpya, na ufisadi hautakuwepo kwenye serikali yake. Watanzania tunasahau haraka. Kwenye utawala wake nchi ikakabithiwa cartels.
Yy hawezi kufanya yote , ndio maana kuna awamu na hakuna hatayewa kufanya yote , kwani ufisadi umeisha nchini ?
 
Back
Top Bottom