Kamati ya Jaji Bomani ilikuwa ni kwa ajili ya nini?! TMAA ambao walitumia hadi pesa za walipa kodi kwenda Uchina na Japan walipelekwa huko kufanya nini?!Angegunduwa wizi wa mchanga zamani lakini badala yake alitumia pesa za Watanzania kupata mitaa ya Europe. Unaenda via tu vyake vimenunuliwa na shida zetu.