Kamati ya Jaji Bomani ilikuwa ni kwa ajili ya nini?! TMAA ambao walitumia hadi pesa za walipa kodi kwenda Uchina na Japan walipelekwa huko kufanya nini?!Angegunduwa wizi wa mchanga zamani lakini badala yake alitumia pesa za Watanzania kupata mitaa ya Europe. Unaenda via tu vyake vimenunuliwa na shida zetu.
Hayo ni maoni yako, ni haki yako kutoa maoniProud for what? Ameteuliwa kwaajiri ya ukimya wa Watanzania. This man does not deserve even to manage a chicken farm, WACHA kusuluwisha shida za Libya. He was not born to lead, Atasuluhisha nini Wakati Tanzania kaiacha hoi? Pengine wengemkaribisha kushangilia mpira ama taarabu. Walio kuchaguwa hawajui, he is not fit for any leadership.
Katuachia mashimo matupu na migogoro ya kisiasa na kidini.... Hafai hata robo
Acha wivu wa kipumbavu wewe...!! Ina maana alikuwa halipwi mshahara..?? Itafikia wkt mtasema mpk boxer zake ni kodi zenu wkt tulimchagua wnyw. Huo mchanga ulianza toka 97, na Magu alikuwa bungeni toka 95, kwann asingezuia hiyo mikataba ya madini kupita..??? Wote ni walewale tu. Hta ungekuwa ww ndo JK, hakuna kipya ambacho ungefanya.Vimenunuliwa na jasho la Watanzania waliowachwa kwenye mataa kwa uongozi wake duni. Angegunduwa wizi wa mchanga zamani lakini badala yake alitumia pesa za Watanzania kupata mitaa ya Europe. Unaenda via tu vyake vimenunuliwa na shida zetu.
Acha wivu wa kipumbavu wewe...!! Ina maana alikuwa halipwi mshahara..?? Itafikia wkt mtasema mpk boxer zake ni kodi zenu wkt tulimchagua wnyw. Huo mchanga ulianza toka 97, na Magu alikuwa bungeni toka 95, kwann asingezuia hiyo mikataba ya madini kupita..??? Wote ni walewale tu. Hta ungekuwa ww ndo JK, hakuna kipya ambacho ungefanya.
Kwa upande wa bata, Mzee wetu hana deni.
Wivu nimuonee nani? Mimi simushangilii yeyote mwenye kudhurumu walio wengi. Kazi gani aliyekuwa akifanya zaidi ya kusafiri. Angefanya kazi makonteina yangepitishwa bila ya kodi, siyo haya ya mchanga Yale yakiingizwa mchana na usiku bila ya kodi. Angeidhinisha pesa za escrow kugawanywa Wakati watoto wetu wanakaa chini? Angefunguwa macho angeuona huu mchanga mbona Rais Magufuli ameuona, ni kwa kuwa anaipenda nchi yake. Kikwete anajipenda yeye mwenyewe na siyo Watanzania.
Ww una akili kuliko wazungu waliomchagua ? Acha chuki binafsiProud for what? Ameteuliwa kwaajiri ya ukimya wa Watanzania. This man does not deserve even to manage a chicken farm, WACHA kusuluwisha shida za Libya. He was not born to lead, Atasuluhisha nini Wakati Tanzania kaiacha hoi? Pengine wengemkaribisha kushangilia mpira ama taarabu. Walio kuchaguwa hawajui, he is not fit for any leadership.
Proud for what? Ameteuliwa kwaajiri ya ukimya wa Watanzania. This man does not deserve even to manage a chicken farm, WACHA kusuluwisha shida za Libya. He was not born to lead, Atasuluhisha nini Wakati Tanzania kaiacha hoi? Pengine wengemkaribisha kushangilia mpira ama taarabu. Walio kuchaguwa hawajui, he is not fit for any leadership.
Kwani mchanga umeanza kusafirishwa wakati wa JK ? Kama sio mbona unamlaumu yy pekee ? Ww unafikiri mchanga ndio kila kitu " ? Acha kujidanganyaWivu nimuonee nani? Mimi simushangilii yeyote mwenye kudhurumu walio wengi. Kazi gani aliyekuwa akifanya zaidi ya kusafiri. Angefanya kazi makonteina yangepitishwa bila ya kodi, siyo haya ya mchanga Yale yakiingizwa mchana na usiku bila ya kodi. Angeidhinisha pesa za escrow kugawanywa Wakati watoto wetu wanakaa chini? Angefunguwa macho angeuona huu mchanga mbona Rais Magufuli ameuona, ni kwa kuwa anaipenda nchi yake. Kikwete anajipenda yeye mwenyewe na siyo Watanzania.
Kwani mchanga umeanza kusafirishwa wakati wa JK ? Kama sio mbona unamlaumu yy pekee ? Ww unafikiri mchanga ndio kila kitu " ? Acha kujidanganya
Sio kweli , pia hakuna mtu asiependa rahaWakati Watanzania wanashituka na wizi wa Mali zao, Rais mstaafu mpenda raha aliyechangia kuiweka tanzania kwenye hali ngumu, anatumbuwa maisha bila ya kujali kwa pension inayolipwa na Watanzania. Kweli dunia haina usawa.
Kwani mchanga umeanza kusafirishwa wakati wa JK ? Kama sio mbona unamlaumu yy pekee ? Ww unafikiri mchanga ndio kila kitu " ? Acha kujidanganya
Sio kweli , pia hakuna mtu asiependa raha
Kajifunze kwanza Kiswahili
'Kwaajiri ', 'kusuluwisha Shida za Libya',
Wewe Kibwengu huna tusi jipya la kumtukana Jk ambalo Ma Bwana zako hawakuwahi kumtukana lakin Jamaa anazid ku shine na hata bata zinachinjwa Kama kawa!
Achana na Jk kamsaidia Ngosha kupigania Michanga Isisafirishwe lakin ajue Bei ya kilo 50 za Mahindi kwa sasa ni ya Juu kuliko ya Cement
Yy hawezi kufanya yote , ndio maana kuna awamu na hakuna hatayewa kufanya yote , kwani ufisadi umeisha nchini ?
Sijidanganyi, muchanga sio kitu pekee, ni kimojawapo. Hata kama Kikwete alikuta, Wakati wa campaign zake ALISEMA serikali mpya NGUVU mpya, na ufisadi hautakuwepo kwenye serikali yake. Watanzania tunasahau haraka. Kwenye utawala wake nchi ikakabithiwa cartels.