Mama Obama
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 1,621
- 1,087
Ww una akili kuliko wazungu waliomchagua ? Acha chuki binafsi
Hivi utamchagua mtu ambaye humjui vizuri ?Kwasababu Wazungu hawajuwi vizuri, Watanzania wameziba midomo hawajui kulalamika. Watanzania ni wavumulivu sana. Shida zao wanajuwa wenyewe. Nchi za nje wanafikiri Viongozi wetu ni Wazuri na si wizi, lakini corruption iliyokuwepo Tanzania ni zaidi kuliko nchi yeyote East Africa.
Pole Mzalendo wetu lakin unapaswa kujua kuwa Hata Nyerere aliacha Wanafunzi wanakaa chini Mashuleni!
JPM kaona huo Mchanga unaosafirishwa lakin hajaona kuwa Kilo 50 za Mahindi zinauzwa ghali kuliko za Cement
Nimegundua kisomo chako ni kidogo hata nikukueleza ni vigumu kuelewa. Haujuwi tofauti mtu mwenye ubinafsi na ambaye hana. Kikwete alikuwa ameajiliwa na Watanzania hakufanya kazi yake sawa full stop.
Hivi utamchagua mtu ambaye humjui vizuri ?
Sio kuajiliwa andika kuajiriwa!
Nikukuelekeza ndio nini?
Inaonekana Wewe ni Mwalimu ulielazimika kuwa Mwalimu baada ya alama za ufaulu kutokukuruhusu kusomea taaluma nyingine ndio sababu umekimbilia ku assess kisomo changu badala ya ufahamu wangu!
Sio kuajiliwa andika kuajiriwa!
Nikukuelekeza ndio nini?
Inaonekana Wewe ni Mwalimu ulielazimika kuwa Mwalimu baada ya alama za ufaulu kutokukuruhusu kusomea taaluma nyingine ndio sababu umekimbilia ku assess kisomo changu badala ya ufahamu wangu!
Umepatia asante.
Sio asante, andika Ahsante
Please do me a favour, I am not here to be tought Swahili by you, I am hear to give my opinion. So accept it and move on.
Usingeleta dharau zako za kutaka ku assess kisomo changu badala ya kujadili hoja!
Siku nyingine ujifunze Adabu!
Ukiwa na busara wapo wenye busara zaid yako na ukileta uchizi na uchale chale pia wapo zaid yako
Nashukuru kwa kukerwa kwako.
Kwaheri!
Kumbe JK umemsifia ? Ooh that's greatI would love to read your English. You are being petty. Mimi sikukudharau, sidharau kiumbe chochote alichokiumba Mwenyezi MUNGU.
If it makes you happy.Kumbe JK umemsifia ? Ooh that's great
Mkwere hajawahi kujiangusha katika masuala mazima ya kula bata.
We were not born to pays bills and die.
Acha uzushiWakati Watanzania wanashituka na wizi wa Mali zao, Rais mstaafu mpenda raha aliyechangia kuiweka tanzania kwenye hali ngumu, anatumbuwa maisha bila ya kujali kwa pension inayolipwa na Watanzania. Kweli dunia haina usawa.
That's doesn't make happy, I will come pm so that we can make good chatIf it makes you happy.
Nimegundua kisomo chako ni kidogo hata nikukueleza ni vigumu kuelewa. Haujuwi tofauti mtu mwenye ubinafsi na ambaye hana. Kikwete alikuwa ameajiliwa na Watanzania hakufanya kazi yake sawa full stop.
Proud for what? Ameteuliwa kwaajiri ya ukimya wa Watanzania. This man does not deserve even to manage a chicken farm, WACHA kusuluwisha shida za Libya. He was not born to lead, Atasuluhisha nini Wakati Tanzania kaiacha hoi?
Hatukuchaguwa atumiye madaraka vibaya, tulimuchaguwa afanye kazi, badala yake aka was mtalii akitumia pesa zetu huku nyuma mchanga unaibiwa
Vimenunuliwa na jasho la Watanzania waliowachwa kwenye mataa kwa uongozi wake duni. Angegunduwa wizi wa mchanga zamani lakini badala yake alitumia pesa za Watanzania kupata mitaa ya Europe. Unaenda via tu vyake vimenunuliwa na shida zetu.
Wivu nimuonee nani? Mimi simushangilii yeyote mwenye kudhurumu walio wengi. Kazi gani aliyekuwa akifanya zaidi ya kusafiri. Angefanya kazi makonteina yangepitishwa bila ya kodi, siyo haya ya mchanga Yale yakiingizwa mchana na usiku bila ya kodi. Angeidhinisha pesa za escrow kugawanywa Wakati watoto wetu wanakaa chini? Angefunguwa macho angeuona huu mchanga mbona Rais Magufuli ameuona, ni kwa kuwa anaipenda nchi yake. Kikwete anajipenda yeye mwenyewe na siyo Watanzania.
Sijidanganyi, muchanga sio kitu pekee, ni kimojawapo. Hata kama Kikwete alikuta, Wakati wa campaign zake ALISEMA serikali mpya NGUVU mpya, na ufisadi hautakuwepo kwenye serikali yake. Watanzania tunasahau haraka. Kwenye utawala wake nchi ikakabithiwa cartels.
I swear, huyu mama sio Mtanzania bali ni Mnyarwanda and possibly Mtutsi!!!Kwasababu Wazungu hawajuwi vizuri, Watanzania wameziba midomo hawajui kulalamika. Watanzania ni wavumulivu sana. Shida zao wanajuwa wenyewe. Nchi za nje wanafikiri Viongozi wetu ni Wazuri na si wizi, lakini corruption iliyokuwepo Tanzania ni zaidi kuliko nchi yeyote East Africa.
Umeambiwa jifunze Kiswahili ndo umeamua kutumia Kiingereza ambacho pia ni kibovu!!!Please do me a favour, I am not here to be tought Swahili by you, I am hear to give my opinion. So accept it and move on.
Hapa mama Obama umepotoka kbs kumfagilia Magufuli,ili nione president yupo serious afuatilie mpaka waliosaini hii mikataba isiangalie wadhifa wa mtu ila ni kitu hakiwezekani,yetu [emoji102] naWivu nimuonee nani? Mimi simushangilii yeyote mwenye kudhurumu walio wengi. Kazi gani aliyekuwa akifanya zaidi ya kusafiri. Angefanya kazi makonteina yangepitishwa bila ya kodi, siyo haya ya mchanga Yale yakiingizwa mchana na usiku bila ya kodi. Angeidhinisha pesa za escrow kugawanywa Wakati watoto wetu wanakaa chini? Angefunguwa macho angeuona huu mchanga mbona Rais Magufuli ameuona, ni kwa kuwa anaipenda nchi yake. Kikwete anajipenda yeye mwenyewe na siyo Watanzania.