Picha: Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akutana na Samatta Ubelgiji

Picha: Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akutana na Samatta Ubelgiji

Ww una akili kuliko wazungu waliomchagua ? Acha chuki binafsi

Kwasababu Wazungu hawajuwi vizuri, Watanzania wameziba midomo hawajui kulalamika. Watanzania ni wavumulivu sana. Shida zao wanajuwa wenyewe. Nchi za nje wanafikiri Viongozi wetu ni Wazuri na si wizi, lakini corruption iliyokuwepo Tanzania ni zaidi kuliko nchi yeyote East Africa.
 
Hivi utamchagua mtu ambaye humjui vizuri ?
 
Pole Mzalendo wetu lakin unapaswa kujua kuwa Hata Nyerere aliacha Wanafunzi wanakaa chini Mashuleni!

JPM kaona huo Mchanga unaosafirishwa lakin hajaona kuwa Kilo 50 za Mahindi zinauzwa ghali kuliko za Cement

Nakubali lakini dhahabu zetu zilikuwa Zipo, Sasa zinachimbwa, mashimo yanabakia, watu wanaokaa karibu na migodi wanapata cancer, mali zinapelekwa kwa mancontainer bado watoto wanakaa chini, Sasa faida yake ni nini? Basi kama Rais Nyerere alivyosema madini yabakie mpaka tutakapoelimisha watoto zetu kuliko wakute mashimo tupu na magonjwa juu
 
Nimegundua kisomo chako ni kidogo hata nikukueleza ni vigumu kuelewa. Haujuwi tofauti mtu mwenye ubinafsi na ambaye hana. Kikwete alikuwa ameajiliwa na Watanzania hakufanya kazi yake sawa full stop.

Sio kuajiliwa andika kuajiriwa!

Nikukuelekeza ndio nini?

Inaonekana Wewe ni Mwalimu ulielazimika kuwa Mwalimu baada ya alama za ufaulu kutokukuruhusu kusomea taaluma nyingine ndio sababu umekimbilia ku assess kisomo changu badala ya ufahamu wangu!
 
Hivi utamchagua mtu ambaye humjui vizuri ?

Off course hawamujui, wanajuwa tu alikuwa Rais wa Tanzania, kwa kuwa Watanzania hatufahamu zaidi siasa za nje hatutowi maoni yetu nje ya Tanzania. Shida ya lugha na kutosoma magazeti ya nje. Viongozi wetu wana thamani watu akifili wanatuongoza vizuri kwa kuwa hawasikii malalamiko yetu. Kama ingekuwa Nchi nyingine kama Kenya kwa uongozi mbaya wa `Kikwete dunia yote ingekuwa pengine hata visa angenyimwa.
 
Sio kuajiliwa andika kuajiriwa!

Nikukuelekeza ndio nini?

Inaonekana Wewe ni Mwalimu ulielazimika kuwa Mwalimu baada ya alama za ufaulu kutokukuruhusu kusomea taaluma nyingine ndio sababu umekimbilia ku assess kisomo changu badala ya ufahamu wangu!

Umepatia asante.
 
Asante kwa kunisahihisha. Kiswahili ni lugha ngumu kama lugha yeyote ile. Na saa nyingine computer inasahihisha.
 
Please do me a favour, I am not here to be tought Swahili by you, I am hear to give my opinion. So accept it and move on.

Usingeleta dharau zako za kutaka ku assess kisomo changu badala ya kujadili hoja!

Siku nyingine ujifunze Adabu!

Ukiwa na busara wapo wenye busara zaid yako na ukileta uchizi na uchale chale pia wapo zaid yako

Nashukuru kwa kukerwa kwako.

Kwaheri!
 
I would love to read your English. You are being petty. Mimi sikukudharau, sidharau kiumbe chochote alichokiumba Mwenyezi MUNGU.
 
Wakati Watanzania wanashituka na wizi wa Mali zao, Rais mstaafu mpenda raha aliyechangia kuiweka tanzania kwenye hali ngumu, anatumbuwa maisha bila ya kujali kwa pension inayolipwa na Watanzania. Kweli dunia haina usawa.
Acha uzushi
 
Nimegundua kisomo chako ni kidogo hata nikukueleza ni vigumu kuelewa. Haujuwi tofauti mtu mwenye ubinafsi na ambaye hana. Kikwete alikuwa ameajiliwa na Watanzania hakufanya kazi yake sawa full stop.
Proud for what? Ameteuliwa kwaajiri ya ukimya wa Watanzania. This man does not deserve even to manage a chicken farm, WACHA kusuluwisha shida za Libya. He was not born to lead, Atasuluhisha nini Wakati Tanzania kaiacha hoi?
Hatukuchaguwa atumiye madaraka vibaya, tulimuchaguwa afanye kazi, badala yake aka was mtalii akitumia pesa zetu huku nyuma mchanga unaibiwa
Vimenunuliwa na jasho la Watanzania waliowachwa kwenye mataa kwa uongozi wake duni. Angegunduwa wizi wa mchanga zamani lakini badala yake alitumia pesa za Watanzania kupata mitaa ya Europe. Unaenda via tu vyake vimenunuliwa na shida zetu.
Wivu nimuonee nani? Mimi simushangilii yeyote mwenye kudhurumu walio wengi. Kazi gani aliyekuwa akifanya zaidi ya kusafiri. Angefanya kazi makonteina yangepitishwa bila ya kodi, siyo haya ya mchanga Yale yakiingizwa mchana na usiku bila ya kodi. Angeidhinisha pesa za escrow kugawanywa Wakati watoto wetu wanakaa chini? Angefunguwa macho angeuona huu mchanga mbona Rais Magufuli ameuona, ni kwa kuwa anaipenda nchi yake. Kikwete anajipenda yeye mwenyewe na siyo Watanzania.
Sijidanganyi, muchanga sio kitu pekee, ni kimojawapo. Hata kama Kikwete alikuta, Wakati wa campaign zake ALISEMA serikali mpya NGUVU mpya, na ufisadi hautakuwepo kwenye serikali yake. Watanzania tunasahau haraka. Kwenye utawala wake nchi ikakabithiwa cartels.
Kwasababu Wazungu hawajuwi vizuri, Watanzania wameziba midomo hawajui kulalamika. Watanzania ni wavumulivu sana. Shida zao wanajuwa wenyewe. Nchi za nje wanafikiri Viongozi wetu ni Wazuri na si wizi, lakini corruption iliyokuwepo Tanzania ni zaidi kuliko nchi yeyote East Africa.
I swear, huyu mama sio Mtanzania bali ni Mnyarwanda and possibly Mtutsi!!!

Kila mtu anakumbuka jinsi Watutsi walivyokuwa na chuki ya wazi wazi dhidi ya JK baada ya JK kumpa Kagame vitofa!!! Hakuna Mtanzania aliye mbovu kwa Kiswahili namna hii!! Haiwezekani kila post lazima utumie Kiswahili kibovu halafu ionekane ni normal error... no way!!!!

Wewe Mama Obama wacha kutumia neno "sisi Watanzania!" Hakuna Mtanzania aliye mbovu kwenye Kiswahili namna hiyo labda kama umeishia darasa la nne!!!!
 
Please do me a favour, I am not here to be tought Swahili by you, I am hear to give my opinion. So accept it and move on.
Umeambiwa jifunze Kiswahili ndo umeamua kutumia Kiingereza ambacho pia ni kibovu!!!

Tumia tu Kinyarwanda na sie wengine tutatumia Google translate!!!
 
Wivu nimuonee nani? Mimi simushangilii yeyote mwenye kudhurumu walio wengi. Kazi gani aliyekuwa akifanya zaidi ya kusafiri. Angefanya kazi makonteina yangepitishwa bila ya kodi, siyo haya ya mchanga Yale yakiingizwa mchana na usiku bila ya kodi. Angeidhinisha pesa za escrow kugawanywa Wakati watoto wetu wanakaa chini? Angefunguwa macho angeuona huu mchanga mbona Rais Magufuli ameuona, ni kwa kuwa anaipenda nchi yake. Kikwete anajipenda yeye mwenyewe na siyo Watanzania.
Hapa mama Obama umepotoka kbs kumfagilia Magufuli,ili nione president yupo serious afuatilie mpaka waliosaini hii mikataba isiangalie wadhifa wa mtu ila ni kitu hakiwezekani,yetu [emoji102] na
 
Mkwere ni jembe sana, hasa suala LA bata hahahahhaa
 
Back
Top Bottom