Picha: Rais Samia akiangalia vyakula vya aina tofauti vya asili Zanzibar

Picha: Rais Samia akiangalia vyakula vya aina tofauti vya asili Zanzibar

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Pichani

Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassani akitazama Vyakula vya aina tofauti akiwa maeneo ya Kizimkazi Kusini Unguja

FB_IMG_16301645812452140.jpg
 
tunamtakia mapumziko mazuri, Hakika Rais wetu anachapa kazi sana.
Mungu azidi kumpa afya njema.
 
Bimdashi kwakukata mitaa nakodizetu daah!! Alafu hazungukii kwenye mashida ili atatue aaaku.
 
duh safar hii tyr yuko zenjibari
zenjibari
wapi chatto
 
Back
Top Bottom