Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
😲😲DuuhUtafikiri demu kaegemea gari la boyfriend wake
Nimetukana wapi? Wewe huoni walivyopendeza😲😲Duuh
Mkuu unatukana sana....
Hapa ndipo Sukuma gang na Chaga Gang wanapokosea...........Siasa matusi na sio hojaUtafikiri demu kaegemea gari la boyfriend wake
Huyo ni Rais wa nchi kuwa na adabu mkuuUtafikiri demu kaegemea gari la boyfriend wake
Inasikitisha sana....Huyo ni Rais wa nchi kuwa na adabu mkuu
Kuanzia mtoa uzi na mchangiaji wewe mnatumia lugha za mauzi na zinazokera.Walivyopendeza utafikiri girlfriend kaegemea gari la boyfriend wake
Unaweza kufafanua nini maana ya sukuma gang na chaga gang ewe mwana mpotevu?Hapa ndipo Sukuma gang na Chaga Gang wanapokosea...........Siasa matusi na sio hoja
Walivyopendeza utafikiri girlfriend kaegemea gari la boyfriend wake
Ukiwa kiongozi lazima utukanwe, narudia Tena ukiwa kiongozi lazima utukanweHuyo ni Rais wa nchi kuwa na adabu mkuu
Magang [emoji23][emoji23][emoji23]Hapa ndipo Sukuma gang na Chaga Gang wanapokosea...........Siasa matusi na sio hoja