Picha: Rais Samia akiwa kwenye kiwanda cha Volkswagen nchini Rwanda

Picha: Rais Samia akiwa kwenye kiwanda cha Volkswagen nchini Rwanda

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
4,016
Reaction score
6,759
Rais Samia Suluhu Hassan, akiwa na mwenyeji wake Rais wa Rwanda Paul Kagame, baada ya kumaliza ziara ya kutembelea kiwanda cha kisasa cha magari ya Volkswagen kilichopo Kigali Special Economic Zone chenye uwezo wa kutengeneza magari aina 6 tofauti.
20210804_063140.jpg
 
Maendeleo makubwa yanayofanywa na NDUGU ZETU RWANDA.....

Badala ya kuagiza Volkswagen kutoka nje,watanzania tuanze kuziagiza kutoka RWANDA ili tuendelee kuimarisha chumi za nchi zetu.......

#KongoleMh.SSH
#SiempreUhusianoWetuNaRwanda
#SisiNiWamoja
#NchiKwanza
#KaziIendelee
 
Kagame anaonekana yuko vizuri kichwani kawazidi hawa jamaa wengine, hata mambo ya ndani kwetu anaweza kuwa anayafahamu vizuri tu ila anazuga kumuuliza Samia habari za alikotoka.
 
Back
Top Bottom