Picha: Rais Samia arejea nchini toka Zambia

Picha: Rais Samia arejea nchini toka Zambia

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo Agosti 24, 2021 akitokea Nchini Zambia alikohudhuria Sherehe ya kuapishwa kwa Rais Mpya wa 7 wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema

IMG_20210824_222629.jpg
 
Connection ya DRC ilikuwa matango pori?
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo Agosti 24, 2021 akitokea Nchini Zambia alikohudhuria Sherehe ya kuapishwa kwa Rais Mpya wa 7 wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema https://t.co/c0pJCLJ09c
View attachment 1906787
Kwa hiyo hajenda tena drc kama tulivyoaminishwa kuwa atapitia huko huko kwenda drc kikazi
 
Mama aache kushikanisha mikono mbele ya wateule wake, unaweza usione nani ni nani hapo ukiondoa hiyo carpet. Sauti ya mamlaka, gesture yenye mamlaka ndo inayotakiwa.

Watamkimbiza mchaka mchaka akiendelea kuwafungia mikono hivi.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo Agosti 24, 2021 akitokea Nchini Zambia alikohudhuria Sherehe ya kuapishwa kwa Rais Mpya wa 7 wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema https://t.co/c0pJCLJ09c
View attachment 1906787
Rais wetu msikivu.

Kipenzi chetu mh.SSH🤩

Live Long SSH amen🙏

#KaziInaendelea
 
Rais anafanya kazi muda wowote anaokuwa MACHO. Kwani akienda Likizo ya sikukuu huwa hafanyi kazi za NCHI?!!!!
 
Mama aache kushikanisha mikono mbele ya wateule wake, unaweza usione nani ni nani hapo ukiondoa hiyo carpet. Sauti ya mamlaka, gesture yenye mamlaka ndo inayotakiwa.

Watamkimbiza mchaka mchaka akiendelea kuwafungia mikono hivi.
Hiyo ni salaam wakati huu. You should understand boy .
 
Back
Top Bottom