data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,858
- 23,768
Muacheni Mama aifungue nchi wazee...Mambo ya msingi anafanya sangapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muacheni Mama aifungue nchi wazee...Mambo ya msingi anafanya sangapi?
Hivi Mpango yupo kweli duniani?Muacheni Mama aifungue nchi wazee...
Basi Chato, nayo ni makao makuu.Boeing ni ndege kubwa haiwezi kutua msalato 😅🚶🏿♂️🚶🏿♂️🚶🏿♂️
Ndio Jana alikuwa nzanzibar.Hivi Mpango yupo kweli duniani?
Nadhani kwa sababu hub ya ATCL ni Dar...Kwanini ameshukia JK Nyerere na siyo Msalato Dodoma? asee tunachezewa sana.
MmhNa tozo zitashuka kwa sisi wenye kadi za CCM.