PICHA: Rais Samia arejea Salama nchini na kupokelewa Kijeshi na Viongozi Mbalimbali Wa Vyombo vya ulinzi na usalama

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
40,476
Reaction score
26,173
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Amerejea salama salimini Kabisa Nchini Mwetu.

Ambapo Rais wetu Mpendwa Na Moyo wa Taifa Amepokelewa kijeshi na viongozi Mbalimbali wa Vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na viongozi wa serikali.

Hii ni Baada ya kushuhudia Uapisho wa Rais wa Uganda Mheshimiwa Yoweli Kaguta Museveni. Ambapo Rais wetu Mpendwa ameiwakilisha vyema kabisa Nchi yetu huko Uganda.

Ambapo Rais Wao Uganda amewakumbusha waganda Hususani vijana ambao hawaijui historia ya Taifa lao kuwa Msingi wa Taifa lao ambao leo hii wanaendelea kusherehekea maendeleo waliyonayo yanatokana na mchango mkubwa sana wa Tanzania chini ya uongozi wa Hayati wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Ambapo Amesema ushirikiano huo na undugu huo wa kihistoria unaendelea kuimarishwa na kudumishwa na Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.

Hivyo watanzania hatuna budi kuendelea kutembea vifua mbele. Sisi ni Taifa ambalo tunajivunia kusaidia na kuzikomboa Nchi nyingi sana hususan zile za kusini Mwa Afrika. Sisi ni Master Mind wa mambo mbalimbali. Ndio maana tunaendelea kuheshimika na kuheshimiwa sana.

Tunaaminika kwa uaminifu wetu .ndio maana tumekuwa tukipata uungwaji mkono hata pale tunapoweka wagombea katika nafasi za kimataifa kama ambavyo sasa tunashikilia nafasi ya Ukurugenzi Mkuu wa shirika la afya Duniani kanda ya Afrika chini ya uongozi mahari wa Profesa Mohamed Janabi.

Tuendelee kuwa wazalendo na kuipenda Nchi yetu. Tuendelee kuchagua viongozi wazalendo aina ya Rais Samia ili waendeleze heshima ya Taifa letu Duniani kote.

Nafikiri mnakumbuka pia namna ambavyo Rais wetu Mstaafu Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete alivyoshangiliwa kwa kishindo kuliko hata ilivyokuwa kwa Baraki Obama Rais wa Marekani. Pale ambapo Rais Kikwete alipokuwa akielezea historia ya Tanzania na Afrika kusini na mchango wa Tanzania kwa uhuru wa Taifa hilo na namna Tanzania ilivyoisaidia Afrika kusini kupitia Nelson Mandela ambaye alitumia hadi pasipoti yetu. Ambapo alisahau hadi viatu vyake hapa Nchini

Historia ambayo iligusa maelfu ya waombolezaji waliokuwa wamehudhuria kwa wingi siku hiyo na kujikuta shangwe na nderemo vikiibuka kumshangilia Rais Kikwete. Hiyo ilikuwa ni Mwaka 2013. Najua vijana wa CHADEMA hawawezi kuelewa wala kukumbuka maana akili zao wanazijua wenyewe na ni watu ambao wapo wapo tu.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Screenshot_20260512-201603_1.jpg
 
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3587717
1778494748393.jpg
 
😀😄😃😂🤣😅😁😆👋🙆‍♂️
 
Nina uwakika hajui hata l
Kama gas ⛽️ imepanda bei kwa watanganyika. Na pia Nina uwakika pia kuhusu Dangote kubadili gia angani kuhusu kiwanda cha mafuta na mipango ya kupandisha bei cement zake hapa tanganyika.
Kazi anayo weza pale magogoni ni kutengua na kuteua tu.Subilini mkeka.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Nimesikia baada ya mafuta kupanda na gesi za kupikia zimepanda bei tena.

Lini vidampa ,chawa, kunguni wa Samuya mtafanya maandamano kumpongeza kwa bei kupanda?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Amerejea salama salimini Kabisa Nchini Mwetu.

Ambapo Rais wetu Mpendwa Na Moyo wa Taifa Amepokelewa kijeshi na viongozi Mbalimbali wa Vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na viongozi wa serikali.

Hii ni Baada ya kushuhudia Uapisho wa Rais wa Uganda Mheshimiwa Yoweli Kaguta Museveni. Ambapo Rais wetu Mpendwa ameiwakilisha vyema kabisa Nchi yetu huko Uganda.

Ambapo Rais Wao Uganda amewakumbusha waganda Hususani vijana ambao hawaijui historia ya Taifa lao kuwa Msingi wa Taifa lao ambao leo hii wanaendelea kusherehekea maendeleo waliyonayo yanatokana na mchango mkubwa sana wa Tanzania chini ya uongozi wa Hayati wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Ambapo Amesema ushirikiano huo na undugu huo wa kihistoria unaendelea kuimarishwa na kudumishwa na Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.

Hivyo watanzania hatuna budi kuendelea kutembea vifua mbele. Sisi ni Taifa ambalo tunajivunia kusaidia na kuzikomboa Nchi nyingi sana hususan zile za kusini Mwa Afrika. Sisi ni Master Mind wa mambo mbalimbali. Ndio maana tunaendelea kuheshimika na kuheshimiwa sana.

Tunaaminika kwa uaminifu wetu .ndio maana tumekuwa tukipata uungwaji mkono hata pale tunapoweka wagombea katika nafasi za kimataifa kama ambavyo sasa tunashikilia nafasi ya Ukurugenzi Mkuu wa shirika la afya Duniani kanda ya Afrika chini ya uongozi mahari wa Profesa Mohamed Janabi.

Tuendelee kuwa wazalendo na kuipenda Nchi yetu. Tuendelee kuchagua viongozi wazalendo aina ya Rais Samia ili waendeleze heshima ya Taifa letu Duniani kote.

Nafikiri mnakumbuka pia namna ambavyo Rais wetu Mstaafu Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete alivyoshangiliwa kwa kishindo kuliko hata ilivyokuwa kwa Baraki Obama Rais wa Marekani. Pale ambapo Rais Kikwete alipokuwa akielezea historia ya Tanzania na Afrika kusini na mchango wa Tanzania kwa uhuru wa Taifa hilo na namna Tanzania ilivyoisaidia Afrika kusini kupitia Nelson Mandela ambaye alitumia hadi pasipoti yetu. Ambapo alisahau hadi viatu vyake hapa Nchini

Historia ambayo iligusa maelfu ya waombolezaji waliokuwa wamehudhuria kwa wingi siku hiyo na kujikuta shangwe na nderemo vikiibuka kumshangilia Rais Kikwete. Hiyo ilikuwa ni Mwaka 2013. Najua vijana wa CHADEMA hawawezi kuelewa wala kukumbuka maana akili zao wanazijua wenyewe na ni watu ambao wapo wapo tu.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3587717

wenzake wanatafuta uwekezaji na mikutano ya maendeleo Nairobi yeye anatembea tembea kwa Musevi fake mwenzake kwenye uchaguzi
 
Mungu ni Mwema sana,
Asante Dr.Samia Suluhu Hassan kutuwakilisha vyema waTanzania wote Uganda.
 
Naona mpaka mkuu wa fire na magereza wanampokea! Relevance yake ni nini?
 
*****you !!!!
 
Naona mpaka mkuu wa fire na magereza wanampokea! Relevance yake ni nini?
Wanataka kutuambia raisi fake nalindwa na vyombo vyote vya usalama. Amini nawaambia siku inakuja na ipo karibu sana hao wote wanaojifanya kumlinda watakimbia na kujificha. We subiri tu
 
Back
Top Bottom